una uhakika?..tuhakikishie ukiwa kama msomi
Huwa ninaamini kupitia evidence..kwamba yupo Indi
Hata hizo fonts si ambazo zinatumikaSiku zote anapotenguaga huteua mwingine palepale na hutangaza siku ya kuapisha!
Hiyo barua mbona ina walakini!
😀Mkuu jaribu basi kutomlipa mshahara mwezi mmoja tuone nguvu yako mwajiri.
Ex- spyNdio naniii nchii hii sasa
😂😂😂😂 eti barabara ya barack Obama , Ikulu imehamia dodoma kitambo sana. MATAGA hawaaminiHats hizo fonts si ambazo zinatumika
Mwanasiasa akikuambia saivi ni usiku toka nje kahakikisheKama ni mzima asitoke aongee tu?shida nini?huwa mnasema Maghu ni Raisi wa wanyonge,sasa wanyonge wakitaka kujua kipenzi chao kiko wapi,mnajisikia vibaya,hii ajabu sana,kama jitu limezidiwa semeni tu!
Hata walioko MIREMBE wakiwa wamelazwa, hudhani sisi tulio nje ya Mirembe ni vichaaWanafiki mna tuharibia dunia unajua!
InasemajeDar mpya kuna tweet wameiandika dakika 30 zilizopita wakaifuta fasta.
Wamekanusha kuwa siyo kweli! Nilijua tu😂😂😂😂 eti barabara ya barack Obama , Ikulu imehamia dodoma kitambo sana. MATAGA hawaamini
Kuna watu wanadhani tunamaanisha watu wanaotoka kwenye makabila ya wachunga ngombe au pengine wasukuma. Hata kidogo. Kwenye makabila yenye watu waungwana na wacheshi basi wasukuma ni miongoni mwao. Halafu ni wakarimu sana. Wachunga ng'ombe (usisahu kuweka hiyo alama ' kwenye neno ng'ombe) tunamaanisha watu wasiyo na exposure ya uongozi wametoka. Wamekulia na mindset zao ni za huko swekeni kusiko na ustaarabu. Ni kama mchaga anavyoweza kusemwa ni wa migombaniunakosea sana, wachunga ngombe kupewa nchi! unamaanisha nini eti.
Hayatakua ya Bi Zakia kweli?!samia ndo inapaswa awe rais lakini , katiba inasema hivo
Hajamuombea mabaya ila huko white house kirusi kinazunguka zunguka huko, sasa huu ukimya watu lazima wasema kitu.Sky Eclat naiona presha yako inavyopanda na kushuka. Pole sana kwa kumwombea Rais wetu mabaya, sawa? Tumekusamehe bure!
"ACHA UMBEA KALEE WATOTO"Inasemaje