alphonce.NET
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,703
- 6,046
Kinachofanya ushindwe kufanya maombi ni nini? Kwani kama ukiomba tu hata bila kupewa taarifa kuna tatizo gani?Naomba sana tena sana kwamba uvumi ulioenea kwamba Rais wetu, kioenzi cha watanzania ni mgonjwa usiwe kweli. Lakini ikidhihirika ni kweli na viongozi wakatuficha, na kwa kufanya hivyo tukakosa nafasi ya kumwombea Rais ili apone, tutawalumu sana viongozi hawa. Kwa kweli watakuwa hawajatutendea haki. Maana sasa tunashindwa kufanya maombi kwa kitu ambacho ni uvumi.
Sasa unataka aombeje? Amwambie MUNGU nini yaani?. Amponye wakati ni mzima?Kinachofanya ushindwe kufanya maombi ni nini? Kwani kama ukiomba tu hata bila kupewa taarifa kuna tatizo gani?
Tabu snUtawalaumu kwa lipi hasa? Kwani yeye ni binadamu wa tofauti na sisi mpaka aishi bila kuumwa?
Kinachofanya ushindwe kufanya maombi ni nini? Kwani kama ukiomba tu hata bila kupewa taarifa kuna tatizo gani?
Akiweka clip itazalisha maswali zaidi.Wanaona bora kupiga kimya hivihivi!Ajabu zaidi ni kwa nini mheshimiwa, anashindwa hata kupost clip kwa tv na mtandaoni kukanusha kuwa anaumwa. Ok yuko busy basi hata clip ya dakika 2 ya kukata mzizi wa fitna inamshinda?
Mkuu, naona umegusia mambo mengi sana pamoja na lawama chungu mzima - kuwa muwazi unacho taka ni kipi hasa, je, hutaki Mzalendo JPM awe mzima wa afya au? Either way wewe binafsi na familia yako utafahidika nini? Labda tuanzie hapo.Hivi kuna anaemwombea kifo Rais Magufuli...?
Watu wanauliza tu aliko maana si kawaida yake na pia huyu ni Rais wa nchi kila kitu kumhusu (isipkuwa kuhusu mambo ya nyumba yake) is a public concern...
Muulize Bujibuji!PM Leo alitakiwa awe mbeya mbona hakuna update yoyote
Au kalazwa Dodoma kwenye ile hospitali ya watu wenye akili nyingi?Muulizeni huyo mzushi wenu wa Nairobi mara India ana majibu yote, sawa!?
Muulize Bujibuji!