alphonce.NET
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,703
- 6,046
Kinachofanya ushindwe kufanya maombi ni nini? Kwani kama ukiomba tu hata bila kupewa taarifa kuna tatizo gani?Naomba sana tena sana kwamba uvumi ulioenea kwamba Rais wetu, kioenzi cha watanzania ni mgonjwa usiwe kweli. Lakini ikidhihirika ni kweli na viongozi wakatuficha, na kwa kufanya hivyo tukakosa nafasi ya kumwombea Rais ili apone, tutawalumu sana viongozi hawa. Kwa kweli watakuwa hawajatutendea haki. Maana sasa tunashindwa kufanya maombi kwa kitu ambacho ni uvumi.