Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Na raia waliouambia umma ukweli kuwa Rais anaumwa wakakamatwa na kuswekwa ndani. Aliyedanganya yupo uraiani anapeta, na waliosema ukweli wapo nyuma ya nondo. Kama walikufichia maradhi ungejitokeza hata wewe mwenyewe hadharani uombe msamaha.

Kwa uliowakosea(binadamu kukosea kawaida) na useme taifa likuombe japo uwe na mwisho mwema kwakua uliamini sana katika maombi na kila mara ulisisitiza taifa likuombee. RIP JPM.
 
Ukimsikiliza vizuri, kasema alilazwa tarehe 6 na kesho yake tarehe 7 aliruhusiwa(hospital ya moyo ya Muhimbili). Na tarehe 14 alizidiwa tena na kupekwa Mzena hospital hadi mauti unamkuta.
 
Mjomba wangu ni afisa kipenyo mwandamizi kuna jambo zito kaniambia.

Waziri mkuu kama anabisha amwambie Magufuli anyooshe kidole juu ama afanye kama anajikuna halafu apigwe picha.
Aisee
 
Twitani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…