Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Raisi yupo kwenye mfungo wa kwaresma pigeni ramli chonganishi mzee ni mzima wa afya!
 
Basi Kama ni ivo kifo alicho muombea Lisu na akajaribu kumuua kabisa,ndio hii sasa na watu wengine wanamuombea.
Alimuombea wapi? Na wapi ulimuona akijaribu kumuua?

Tundu kama Tundu anajua kabisa serikali wala rais hawahusiki na kupigwa kwake risasi ila yeye ameamua kutumia zile risasi alizopigwa kisiasa zaidi.

Kilichomfanya aweze kuja kugombea urais lakini ashindwe kusubiri na kufuatilia hilo tukio kwenye vyombo husika unakijua?

Hakuna mwanadamu anayeweza furahia lile tukio la risasi ila pia sio kawaida muathirika kukwepa na kukimbia katika kutoa ushirikiano kwa vyombo husika
 
Taarifa nzuri sana kwetu,Mungu aendelee kumpigania...
 
Hivi lakini kwa nini wasijitokeze kueleza alikotokomea

Ila nahisi Jiwe atakuwa ameyaumiza sana mapafu yake kwa manyungu na mafukizo kiasi hata cha madaktari wa Nairobi hospital kushindwa kujua wanaanzia wapi kumtibu

Huyu mwenzetu ni wa kufa tu labda yule Mungu anaemuimbaimba madhabahuni amuokoe
 
Kama rais ni mzima, kwa nini inakuwa mgogoro mkubwa sana kwa watu wa serikali kumuonesha huyu hapa Magufuli mzima wamalize uvumi kwamba ni mgonjwa?

Wanasubiri nini kufanya hivyo? Wanasubiri msaada wa wahisani?
Rais hawezi kufanya kwa matakwa ya wahuni wachache wa mitandaoni kama kina Lisu
 
Back
Top Bottom