Kabulala
JF-Expert Member
- Oct 13, 2019
- 695
- 936
Hahaha..eti Dead or alive..Sasa Jiwe si ajitokeze jamani dead or alive
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha..eti Dead or alive..Sasa Jiwe si ajitokeze jamani dead or alive
Alimuombea wapi? Na wapi ulimuona akijaribu kumuua?Basi Kama ni ivo kifo alicho muombea Lisu na akajaribu kumuua kabisa,ndio hii sasa na watu wengine wanamuombea.
Naona unang'ang'ana ka ruba......Mjomba wangu ni afisa kipenyo mwandamizi kuna jambo zito kaniambia.
Waziri mkuu kama anabisha amwambie Magufuli anyooshe kidole juu ama afanye kama anajikuna halafu apigwe picha.
Akichapa kazi za kujenga Taifa hili teule
Kama mlivyochenji gia baada ya kipiga risasi Lisu na Mungu kumponya mkana na story za kajipiga risasi mwenyeweNaona GIA inachenji sasa, au siyo!??? Tutaelewana tuu nyie Ufipa.
NAIROBI
INDIA
IKULU HOSP
MZENA STATE HOSP
...
Kumbukeni Lisu aliandaliwa mpaka mazishiyake yatakavyo kuwa Enyi binadamu Mungu hadhihakiwiLissu kaumbuka yule jamaa.
Ni aibu kubwa sana kwa Lisu kuzusha uongo.
Lisu ni muongo,mbea na mzandiki mwenye roho mbaya,afai afai afai.
Ila Wana watoto ambayo wanawaza kupiga watu risasi na kuuzwa gb1 Kwa 9000.Maafisa vipenyo hawana vitoto wa ndugu wajingawajinga kama wewe
Rais hawezi kufanya kwa matakwa ya wahuni wachache wa mitandaoni kama kina LisuKama rais ni mzima, kwa nini inakuwa mgogoro mkubwa sana kwa watu wa serikali kumuonesha huyu hapa Magufuli mzima wamalize uvumi kwamba ni mgonjwa?
Wanasubiri nini kufanya hivyo? Wanasubiri msaada wa wahisani?