Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Mkuu Capt, umeandika mengi hapa na nimekusoma zaidi kwenye michango yako mingine hapa, na kidogo kutatizwa na kutojua upo wapi!

Hebu nikuulize, hivi Dr P. Mpango ilikuwa na lazima gani kufanyiwa kama hivyo ulivyoeleza?

Kulikuwa na umuhimu gani, na nani aliyetaka iwe hivyo!

Sasa unamzungumzia rais, hutaki afanyiwe hivyo. Hivi kuna kundi la watu linalowalazimisha wayafanye hayo, hata rais afanyiwe hivyo? Wewe hapo ulipo, unaamini kuna mtu au kundi mwenye nguvu zaidi ya rais mwenyewe kuhimiza iwe hivyo kwa lengo maalum analojua yeye?

Imekuwa kawaida kwa waTanzania kuona kasoro kwa watu wengine, lakini inapofika kuelekeza lawama mahali stahiki, hata watu wanaoonekana kuwa na akili nzuri wanajitoa ufahamu.

Sijui kwa nini inakuwa hivi.
 
"Misinformation" ingefanikiwa sana kama ni kweli Magufuli haumwi; lakini kama anaumwa na bado ataendelea kutoonekana hadharani, sioni ufanisi wa kazi hiyo kuwa kubwa sana.

Ndio, hayo ya kwenda Kenya na kwingineko itaonekana ilikuwa uongo, lakini msingi wa hoja ni je, Magufuli ni mzima au ni mgonjwa?
 
Chalai anasema Magufuli amefariki.

Habari iko Twitter.

Nasikia Tanzania kuna watu hawapati Twitter mpaka kwa VPN.

@ Chahali

Rais John Pombe Magufuli amekata roho leo saa kumi na moja nusu Jioni hospitali ya Mzena Dar es Salaam. Makamu wa Rais Samiah Suluh Hassan hajaambiwa. Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Bwana Diwani Athumani na Daktari wa Rais Professor Mchembe wamekaa na Mwili wa Marehemu mpaka sasa kupanga Makamu wa Rais wanayemtaka Bwana Chamuriho. Tumlinde Samiah, tulinde Katiba. Watanzania Kesho asbh nendeni Mzena kushinikiza Katiba ifuatwe
 
Tuombe apone haraka aje akanushe.Siri imekuwa sio siri tena, lkn akipona akaja kukanusha itakuwa na uafadhari kidogo. Mbaya ni kama akifariki, cjui wataongea nini hawa wanazi.
Mpigie sele 0715132277 au 0787132277 amesema anajua Rais alipo huyo ni msaidizi wake anazo taarifa zote
 
Kiukweli, kama Watanzania wenzetu wanaweza kufanya haya alafu wasichukuliwe hatua basi linchi limeoza! Huku ni kuvuka mstari! Aibu! Aibu! Aibu! Kushabikia haya!
Hapa ilipofikia si pa kubishana tena unless wewe ndiye JPM.

Japo itapendeza sana huu ukiwa ni uzushi ila kwa hapa huu uzushi ulipofikia ni kusubiri JPM atokee hadharani au kujiandaa kisaikolojia.

Kubisha tu huku hata ww hujamuona akiwa mzima ni utoto.
 
Hapa ilipofikia si pa kubishana tena unless wewe ndiye JPM.

Japo itapendeza sana huu ukiwa ni uzushi ila kwa hapa huu uzushi ulipofikia ni kusubiri JPM atokee hadharani au kujiandaa kisaikolojia.

Kubisha tu huku hata ww hujamuona akiwa mzima ni utoto.
Kwanini uamini hapa ndio penyewe? Unatishwa na maneno? Majaliwa ambaye ndio waziri mkuu kasema Rais yupo sawa! Sio tu mgonjwa yupo sawa! Unataka kipi cha ziada?
 
Back
Top Bottom