KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Mkuu Capt, umeandika mengi hapa na nimekusoma zaidi kwenye michango yako mingine hapa, na kidogo kutatizwa na kutojua upo wapi!
Hebu nikuulize, hivi Dr P. Mpango ilikuwa na lazima gani kufanyiwa kama hivyo ulivyoeleza?
Kulikuwa na umuhimu gani, na nani aliyetaka iwe hivyo!
Sasa unamzungumzia rais, hutaki afanyiwe hivyo. Hivi kuna kundi la watu linalowalazimisha wayafanye hayo, hata rais afanyiwe hivyo? Wewe hapo ulipo, unaamini kuna mtu au kundi mwenye nguvu zaidi ya rais mwenyewe kuhimiza iwe hivyo kwa lengo maalum analojua yeye?
Imekuwa kawaida kwa waTanzania kuona kasoro kwa watu wengine, lakini inapofika kuelekeza lawama mahali stahiki, hata watu wanaoonekana kuwa na akili nzuri wanajitoa ufahamu.
Sijui kwa nini inakuwa hivi.