pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Mwanasiasa wa Tz akikuambia 'usiku mwema' usimuamini toka nje kwanza ukaangalie kama kuna giza kweli ndio urudi ndani kujibu salam yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiukweli humu jf, kuna wenzetu wengi tuu humu sio wazima kabisa!, ni vichaa!. Ukiwaaminisha anything, hata vitu vya ajabu ajabu, wanaamini!. Hawa ndio mazuzu tuliokuwa tukiyazungumza, kama mazuzu wanaoamini kuna kundi la The Sukuma Gang.Ni tuhuma nzito hizi, sio ndio kaka Pascal Mayalla ? . Unaweza kutoa ushahidi ikihitajika?
Hakuna mtu nilikuwa namuamini kama Kassim kumbe na yeye ni ZUZU tu, kwa sasa maeneo mengi ya nchi kuwa na umeme ni anasa halafu anasema tuna umeme wa kutosha
Tangu Kaphone atangaze hadharani 'jiwe'liko fit wakati ni kinyume sina hamu wala simuamini hata kidogo.Hakuna mtu nilikuwa namuamini kama Kassim kumbe na yeye ni ZUZU tu, kwa sasa maeneo mengi ya nchi kuwa na umeme ni anasa halafu anasema tuna umeme wa kutosha
Upo sahihi kabisa..Ndugu NjaaKiukweli humu jf, kuna wenzetu wengi tuu humu sio wazima kabisa!, ni vichaa!. Ukiwaaminisha anything, hata vitu vya ajabu ajabu, wanaamini!. Hawa ndio mazuzu tuliokuwa tukiyazungumza, kama mazuzu wanaoamini kuna kundi la The Sukuma Gang.
P