Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Wawekezaji njooni tuna umeme wa kutosha

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Wawekezaji njooni tuna umeme wa kutosha

According to the World Bank's Ease of Doing Business 2020, Tanzania ranks below regional competitors with lower incomes per capita in terms of ease of doing business (Tanzania ranks 141 out of 190, Kenya 56, Uganda 116 and Rwanda 38)...
Resources funzo ZA kuwatosha wawekezaji wengi sana

Ila sera zetu ni mbovu sana na kisiasa hatutabiriki.
Huwezi my predict political stability ya Tz refer meko
 
Dah yaan waziri mkuu wa nchi ambayo imepata uhuru miaka 50 na ushee anasimama hadharani na kujisifia kuwa nchi yake ina ndege 11! Hivyo kweli anafikiri ndege 11 ndio zinataweza kuwavutia wawekezaji kuja kwa wingi nchini? Baada ya miaka 50+ ya uhuru nchi eti inajisifia kuwa ina ndege (amabzo wala sio ndege miongoni mwa ndege za kileo) 11. Ndege hata hazijafika 30?

Aheri angeliwahakikishia usalama na amani nchi, usalama wa mali zao na maisha yao, haki za binaadamu n.k. na sio eti tuna ndege, hivi jamaa anaona nchi kuwa na ndege ni deal kubwa?
 
Binafsi I don't blame Majaliwa, what can he do? He's good but there's nothing he can do. Race ya ajabu sana hii. Huwa nasema waafrika tuna shida kubwa sana vichwani...no wonder tuko hapa, masikini wa kutupwa duniani.

Back to where we were..majeneretor yako wapi jamani? Jiandaeni kisaikolojia. Kama wazungu wasemavyo....we are deplorable people, who can blame them?
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameendelea kutoa wito kwa wawekezaji kuja kuwekeza nchini kwa sababu Tanzania ina ardhi, barabara na umeme wa kutosha.

Aidha, Waziri Majaliwa pia ameiagiza Wizara ya Viwanda na Biashara kuendelea na utaratibu wa kukutana na wizara au taasisi za serikali na binafsi nchini ili kuwahamasisha kununua bidhaa zinazozalishwa hapa nchini.

"Wawekezaji njooni muwekeze Tanzania, tuna ardhi ya kutosha, umeme, barabara, tuna reli ya kati na tunajenga reli ya kisasa, pia tuna ndege 11 na nyingine zinakuja, tunajenga viwanja ya ndege kila mkoa, hivyo tunauhakika wa usafiri," amesema Waziri Mkuu.

Kadhalika, Waziri Mkuu ametoa wito kwa wafanyakazi wa viwanda hapa nchini kuwasaidia wawekezaji hao ili wakuze zaidi biashara zao na wanufaike na uwekezaji huo.
Huyu haaminiki tena na watu wenye akili zao baada ya kutuaminisha kuwa Magufuli ni mzima anachapa kazi kumbe ameishalazwa mortuary
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameendelea kutoa wito kwa wawekezaji kuja kuwekeza nchini kwa sababu Tanzania ina ardhi, barabara na umeme wa kutosha.

Aidha, Waziri Majaliwa pia ameiagiza Wizara ya Viwanda na Biashara kuendelea na utaratibu wa kukutana na wizara au taasisi za serikali na binafsi nchini ili kuwahamasisha kununua bidhaa zinazozalishwa hapa nchini.

"Wawekezaji njooni muwekeze Tanzania, tuna ardhi ya kutosha, umeme, barabara, tuna reli ya kati na tunajenga reli ya kisasa, pia tuna ndege 11 na nyingine zinakuja, tunajenga viwanja ya ndege kila mkoa, hivyo tunauhakika wa usafiri," amesema Waziri Mkuu.

Kadhalika, Waziri Mkuu ametoa wito kwa wafanyakazi wa viwanda hapa nchini kuwasaidia wawekezaji hao ili wakuze zaidi biashara zao na wanufaike na uwekezaji huo.
Huyo anachoweza ni kupiga kiwi nyeusi kichwani mwake tu

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom