Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Wawekezaji njooni tuna umeme wa kutosha

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Wawekezaji njooni tuna umeme wa kutosha

"Wawekezaji njooni muwekeze Tanzania, tuna ardhi ya kutosha, umeme, barabara, tuna reli ya kati na tunajenga reli ya kisasa, pia tuna ndege 11 na nyingine zinakuja, tunajenga viwanja ya ndege kila mkoa, hivyo tunauhakika wa usafiri," amesema Waziri Mkuu.
Oia tuna kodi za kutosha sana
 
Kichwa cha habari tu kimenifanya nianze kucheka.
Huyu jamaa hana aibu kabisa.
Bosi wangu yuko fiti anachapa kazi,huku madrip hayaendi.
Ningekuwa mwanafamilia huyu ningemfungulia mashitaka.

Ugonjwa si wanasema siri ya familia.
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameendelea kutoa wito kwa wawekezaji kuja kuwekeza nchini kwa sababu Tanzania ina ardhi, barabara na umeme wa kutosha.
Watu walimbeza sana anko kwa kumtumbua January..aya sasa si ndo uyu karudi tena...naam mna unavozidi kwenda ndo tutavozidi kumuelewa anko
 
Pamoja na ubabe wa Magu lakini tukubali unyama mwingine ulikuwa nafuu kwa wanyonge.
Makamba hiyo wizara ulienda haraka kusafisha.
Sasa ndio maadui utawapata bila kuwajua
 
Wakati yeye anadai hayo TANESCO wanasema yao 🤣 🤣 🤣
WhatsApp Image 2021-11-17 at 6.08.31 AM.jpeg
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameendelea kutoa wito kwa wawekezaji kuja kuwekeza nchini kwa sababu Tanzania ina ardhi, barabara na umeme wa kutosha.
 
Wakati yeye anadai hayo TANESCO wanasema yao 🤣 🤣 🤣
View attachment 2014079
 
Back
Top Bottom