Waziri Mkuu: Mabasi mabovu ya mwendokasi ni bora Serikali iyauze kuliko kuyaacha yakiozea pale yard

Waziri Mkuu: Mabasi mabovu ya mwendokasi ni bora Serikali iyauze kuliko kuyaacha yakiozea pale yard

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Waziri mkuu mh Majaliwa ameshauri mabasi mabovu ya mwendokasi ni bora yauzwe kuliko kuyaacha yakioza pale yard

Waziri mkuu amesema hayo baada ya kushuhudia mabasi takriban 50 yakiwa yamelala kabisa kwa ubovu na yakizidi kuchakaa.

Chanzo: ITV habari

Ramadhan Kareem!
 
Huu mradi unaendeshwa kipuuzi Sana, inaonekana hata service hawafanyia Hawa

Haiwezekani mradi umeanza 2018 na mabasi 140,
takribani Miaka 2 na nusu TU tangu uanzishwe.

Eti mabasi yamebaki 100 tu ndo yanayotembea, yaani mabasi 40 yako juu ya mawe.

Yaani tayari 1/3 ya mabasi yamekufa, ndani ya Miaka 2 na nusu tu.

Ina maana, wskiendelea kwa trend hii wanayokwenda nayo.
Miaka mitano ijayo kuanzia sasa, mradi utakua hauna Basi ata Moja.

KUNA SHIDA MAHALI
 
Serikali ya CCM kama biashara ya mabasi ya mwendokasi mmeishindwa hivi biashara ya ndege mtaiweza kweli??
SGR imekufa hata kabla haijaanza.

ATCL ndege zilizopo haziruki huku tunaendelea kununua nyingine, sio moja.

Tatu ndege moja tungenunua mabasi zaidi ya Mia mbili
Ile MV Bagamoyo iliyonunuliwa kwa Bei pouwer iko wapi?
We don't have priorities.
 
huu mradi wangepewa watu binafsi waendeshe kibiashara au wengeruhusu wenye daladala kununua share tuone kama kutakuwa na haya mambo, halafu magari hayo yalikuwa ni used, pili njia za bongo changamoto sana angalia maji jangwani pale!?

hivi mtu akinunua atayatumia wapi!?
 
Back
Top Bottom