LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,006
- 14,536
Kuna mambo zaidi ya moja. Eitha watumishi wengi wa UDART wana biashara inayo fanana na hiyo au, kuna wizi mkubwa sana hapo Udart ndio maana shirika lina yumba. Au walio kwenye nafasi za utawala hawana uelewa wa hiyo biashara. Huwezi niambia kwa utitiri wa abiria Dar ati kampuni ina fanya hasara.Huu mradi unaendeshwa kipuuzi Sana, inaonekana hata service hawafanyia Hawa
Haiwezekani mradi umeanza 2018 na mabasi 140,
takribani Miaka 2 na nusu TU tangu uanzishwe.
Eti mabasi yamebaki 100 tu ndo yanayotembea, yaani mabasi 40 yako juu ya mawe.
Yaani tayari 1/3 ya mabasi yamekufa, ndani ya Miaka 2 na nusu tu.
Ina maana, wskiendelea kwa trend hii wanayokwenda nayo.
Miaka mitano ijayo kuanzia sasa, mradi utakua hauna Basi ata Moja.
KUNA SHIDA MAHALI