johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hata mimi nashangaa kwa kweli.Hivi Rais akifia madarakani waziri mkuu nilazima aendelee yule aliyekuwepo??
SGR imekufa hata kabla haijaanza.Serikali ya CCM kama biashara ya mabasi ya mwendokasi mmeishindwa hivi biashara ya ndege mtaiweza kweli??
Namuona majinja special akienda yazoa yote kwa milion sabasaba halafu ayamwage Kama daladalaAuziwe kimbinyiko😂😂
Yatapita njia gani?Auziwe kimbinyiko[emoji23][emoji23]
Ndio.Hivi Rais akifia madarakani waziri mkuu nilazima aendelee yule aliyekuwepo??
Engen nyuma hizo ukizipiga root ya dar moro tu hapo msala [emoji23][emoji23][emoji23]Auziwe kimbinyiko[emoji23][emoji23]
Yakiuzwa yatatembea kwenye barabara zipi? Mabasi yapo chini chini sana hayataweza kuvuka matuta ya roho mbaya ya barabara zetu. Labda kujengwe barabara za zege na kwingine koteNamuona
Namuona majinja special akienda yazoa yote kwa milion sabasaba halafu ayamwage Kama daladala
Tutajua mbele kwa mbele kwani ndege tulinunua mbona zimepaki tu ndugu yanguYatapita njia gani?
Hahahhaaa tutazifungia kafeni kama kale alikokua anatembea nako. Vinauzwa kariakoo lak 2 tuEngen nyuma hizo ukizipiga root ya dar moro tu hapo msala [emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Hivi Rais akifia madarakani waziri mkuu nilazima aendelee yule aliyekuwepo??
Ataendelea kama rais mpya ataona anamfaaHata mimi nashangaa kwa kweli.
Michina haina hata miaka mitano, imeshakufa 50Auziwe kimbinyiko😂😂