johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wewe ndio umeangalia bwashee!Msijazage nyuzi taarifa tushaiangalia ulikuwa wapi kabla ya SAA 2?
Sasa Kama umebahatika kuiangalia hutaki Tena na wengine waiangalie!?Msijazage nyuzi taarifa tushaiangalia ulikuwa wapi kabla ya SAA 2?
Sasa kwani Hospital inajemgwa kwa ajili ya Mifugo? Hivi unafikili PM kakurupuka kusema hivyo! ,Unajua hiyio hospitality ilipangwa ikamilike lini na sasa imefikia hatua ipi? Msipende kukimbilia kupinga Kila kitu !.Mnaonekana hamna akili ni Bora kukaa kimya tu!.Kwa hiyo iharakishwe kukamilika ili Rais aizindue tarehe 9/December!
Hizo ni akili au matope?
Hospitali inapaswa kujengwa kwa lengo la kutoa huduma kwa wananchi na sio kufikia matamanio ya kuzinduliwa na mtawala ili kumpa sifa.
Serikali itoe pesa, wakandarasi wa uhakika wawepo kazini na wataalamu wapewe nafasi ya kufanya kazi zao pasipo kukimbizwa.
Siasa chanzo chanzo cha uharibifu wa mambo mengi! Halafu unaandika ukiwa Jukwaa la siasa kana kwamba Siasa hupendi!Siasa ndio chanzo cha uharibifu wa mambo mengi.
Yuko sahihi ni wewe akili kisoda ndio unashangaaSiasa chanzo chanzo cha uharibifu wa mambo mengi! Halafu unaandika ukiwa Jukwaa la siasa kana kwamba Siasa hupendi!
Tumekuwa kama chinaSiku 15? Mmmh
Walienda kupiga kuraHe ,kumbe haijakamilika !
Sasa kwani Hospital inajemgwa kwa ajili ya Mifugo? Hivi unafikili PM kakurupuka kusema hivyo! ,Unajua hiyio hospitality ilipangwa ikamilike lini na sasa imefikia hatua ipi? Msipende kukimbilia kupinga Kila kitu !.Mnaonekana hamna akili ni Bora kukaa kimya tu!.
Bora hata ww umestuka. Yaani mtu atembelee jengo kisha atoke hajaridhishwa kabisa, lakini atoe siku 15 ujenzi uwe umekamilika! Nijuavyo mimi siku 15 ni kwa ajili ya kufunga taa na kuweka alama za vibao, na sio jengo ambalo hajaridhika kabisa. Magu asipoangalia atamfanya huyo PM awe mwendawazimu.Siku 15? Mmmh