Kwani zile ajira milioni 8 zimeshapata watu zote?Waziri mkuu ambaye pia anapigiwa upatu wa kuwania urais wa JMT ifikapo 2025 amewataka vijana kuacha kuitegemea serikali badala yake wajiajiri wenyewe.
"Ajira ni chache, muhimu tujiajiri wenyewe maana ajira sio tu ya kushika kalamu ofsini bali shughuli unayofanya kujiingizia kipato cha kujilisha na familia yako. Ukiziba pancha ukapata pesa ni ajira, ukibrashi viatu ni ajira, ukikata nywele za watu saloon ni ajira". Amesema majaliwa
Poli mdogo wake ticks hiyoKwani zile ajira milioni 8 zimeshapata watu zote?
Kuna mambo hawa wanasiasa sijui wanatuchukuliaje vijana coz ni aibu mtu ambaye anapambana kwa namna yeyote ile kupata nafasi kisiasa then anasahau kuwa mfumo wezeshi kwa vijana kujifanyia shughuli zao za kujiingizia kipato ndo sababu ya yeye kukimbia taaluma yake.... Waziri mkuu anawezaje kupangia vijana cha kufanya ilhali yeye kakimbilia kwenye kula mema ya nchi kupitia njia kandamizi kwa wenzie.... Watuache na maisha yetu tunajua tunaishi vipi so hizo propaganda zao km ni itampendeza ajiuzuru nafasi yake ili akajiajiliWaziri mkuu ambaye pia anapigiwa upatu wa kuwania urais wa JMT ifikapo 2025 amewataka vijana kuacha kuitegemea serikali badala yake wajiajiri wenyewe.
"Ajira ni chache, muhimu tujiajiri wenyewe maana ajira sio tu ya kushika kalamu ofsini bali shughuli unayofanya kujiingizia kipato cha kujilisha na familia yako. Ukiziba pancha ukapata pesa ni ajira, ukibrashi viatu ni ajira, ukikata nywele za watu saloon ni ajira". Amesema majaliwa
Hawa wazee bwana, wako serikaini miaka zaidi ya 20 wanakula mishahara mirefu na hawataki kutoka japo mitaji wanayo lakini utawasikia wanawambia vijana ambao hawana hata mitaji wajiajiri. Hapo hapo watoto wao wanapitia milango ya nyuma kuwachomeka kwenye ajira hawawambii wajiajiri.Waziri mkuu ambaye pia anapigiwa upatu wa kuwania urais wa JMT ifikapo 2025 amewataka vijana kuacha kuitegemea serikali badala yake wajiajiri wenyewe.
"Ajira ni chache, muhimu tujiajiri wenyewe maana ajira sio tu ya kushika kalamu ofsini bali shughuli unayofanya kujiingizia kipato cha kujilisha na familia yako. Ukiziba pancha ukapata pesa ni ajira, ukibrashi viatu ni ajira, ukikata nywele za watu saloon ni ajira". Amesema majaliwa
Mkuu Tatizo Watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumiaSerikali imeshindwa ku create ajira, uwasumbue wawekezaji, uharibu sekta ya kilimo, sekta ya uvuvi, mfumo mzima wa biashara umeuua halafu utegemee watu wataajiriwa. Lazima uwe na akili za zezeta
Watanzania tunapenda kudeka kama mtoto wa mwishoNimebrashi Viatu, Nimekata Nywele..., Nikaziba pancha.....
Ila nilichogundua...., bila buying power / watu kuwa na kipato cha kueleweka; wana wanaziba pancha wenyewe, wanajinyoa na viatu wanabrush wenyewe....
Hivi kweli li nchi hili lenye madini, maziwa, watalii na bandari na makusanyo ya kutosha wanashindwa ku-create system ya kupunguza wabangaizaji mitaani kwa kupata ajira ? Basi kama ni hivyo wana kazi gani huko walipo ? wote waje kitaa tubrashi viatu, tukate nywele na kuziba pancha...
Watu mliopo kwenye mfumo hili swala mnalichukuliaga poa sana.... Hoja hapa sio kulipa kodi au kutii sheria bila shuruti..... Tupunguze siasa twende kwenye utekelezaji wa mazingira wezeshi kwa hawa tunaotaka wajiariMkuu Tatizo Watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumia
Tii sheria bila shuruti
Lipa kodi
Utafaidi matunda ya awamu hii ya Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake
Hilo swala la ajira ni rahisi sana kujiajiri kuliko kusubiri serikali ikuajiri
Hayo Makampuni ya sekta binafsi walikua hawalipi kodi Ndio maana kazi imewashinda
Yaani wapiga dili lazima muumie maana mianya imeziba kabisa
Sio kila kitu serikali ikufanyieWatu mliopo kwenye mfumo hili swala mnalichukuliaga poa sana.... Hoja hapa sio kulipa kodi au kutii sheria bila shuruti..... Tupunguze siasa twende kwenye utekelezaji wa mazingira wezeshi kwa hawa tunaotaka wajiari
Takwimu za idadi ya watu Tanzania hadi mwaka 2020 58.5M na Kati ya hao watu, zaidi ya watu 30M wako kwenye kundi la wazalishaji mali.
0-14 years: 42.7% (male 12,632,772/female 12,369,115)
15-24 years: 20.39% (male 5,988,208/female 5,948,134)
25-54 years: 30.31% (male 8,903,629/female 8,844,180)
55-64 years: 3.52% (male 954,251/female 1,107,717)
65 years and over: 3.08% (male 747,934/female 1,056,905) (2020 est.)
Kwenye 30M people serikali imeajiri watu watu wasiozidi 1M ikiwa ni pamoja na serikali kuu, serikali za mitaa na agency za serikali.
Waliobaki wako kwenye ajira za sekta binafsi ikiwa ni pamoja na ajira za moja kwa moja toka kwa wawekezaji wazawa na wageni, kilimo na ufugaji kazi ambazo wengi wetu tunazidharau
Kuongeza mshahara ni jambo jema kwa ustawi wa wafanyakazi japo hakuna mshahara uliwahi mtosha mtu.
Nyongeza ya mshahara inategemea sana na uzalishaji mali, ongezeko la kudumu la mapato na vipaumbele katika uzalishaji mali.
Ofisi nyingi za serikali zinahusika na kutoa huduma zaidi ya kuzalisha mali na kutengeneza faida inayoonekana, kwa hiyo kuongeza mshahara sio zoezi la kuamka na kutamka tuu. Usishangae nyongeza ya mshahara kwa hawa watumishi wa umma ikailazimu serikali kutafta trilion2 au zaidi juu ya kile wanacholipwa sasa kila mwezi. Lazima kuwe na uhakika kwamba vyanzo vya mapato vya serikali vitaweza kulipa kiasi cha mshahara kwa wakati.
Serikali yetu ni serikali sikivu, sisi milioni moja tunaosupport wazalishaji mali tuendelee kupambana kwenye maofisi yetu katika kutoa huduma nzuri ili wateja wetu ambao wengi wao ndio wazalishaji mali waweze kuongeza
Duuh kumbe ni nani anawajibika kuandaa sera na mazingira ya hao mnaotaka wajiari??Sio kila kitu serikali ikufanyie