Waziri Mkuu Majaliwa ana maana gani kusema Rais Samia atakuwa Rais hadi 2030?

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,391
Reaction score
3,849
Kauli hii kutoka kwa Waziri Mkuu akiwa kwenye uzinduzi wa mpango wa maendeleo na kampeni ya UVIKO ni ya kufikirisha sana sana, ametangaza kuwa Rais Samia atakuwa Rais wa Tanzania mpaka 2030, binafsi na laani kauli hii na inafanya wapenda Democrasia na Maendeleo wawe na maswali mengi sana ya kufikirisha, je mfumo wa upigaji kura na uvamizi utakuwa kama ule wa Mwaka 2020? maana hili tu pekee ndio laweza kufanikisha swala hili.

Inasikitisha sana sana sana kwa yeye kutoa tamko kama hili, je nchi hii mmiliki wake ni nani, je wananchi wanachukuliwaje au sati zao zinapokelewaje kwenye kupiga kura kama kina nani kama wasio faa au hawana mamlaka ya kumpa kura mwingine yeyote yule? TAFAKARI kuna kitu lazima. ila tufahamu tu kwamba Mwenyezi Mungu ni wa kila mtanzania na ndiye huamua nini kifanyike na nini kisifanyike.
 
Ana maana hii hapa 👇

Screenshot_20210927-080814.png
 
Nadhani ni kauli ya kawaida sana ikimanisha kuwa kwa kazi nzuri anayofanya CCM itampitisha na wa Tanzania tutamchagua kuwa Rais wetu na kazi iendelee! Haina tofauti na wanachadema kusema Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti au wana Simba kusema Simba itachukua ubingwa msimu huu wa ligi. Hii haimanishi kuwa CCM haitafanya uchaguzi wa ndani ya chama au Chadema hawatachagu au Ligi kuu haitachezwa kwa kutabiri ushindi wa Simba. Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania , Kazi iendelee!
 
N
Kauli hii kutoka kwa Waziri Mkuu akiwa kwenye uzinduzi wa mpango wa maendeleo na kampeni ya UVIKO ni ya kufikirisha sana sana, ametangaza kuwa Rais Samia atakuwa Rais wa Tanzania mpaka 2030, binafsi na laani kauli hii na inafanya wapenda Democrasia na Maendeleo wawe na maswali mengi sana ya kufikirisha, je mfumo wa upigaji kura na uvamizi utakuwa kama ule wa Mwaka 2020? maana hili tu pekee ndio laweza kufanikisha swala hili.

Inasikitisha sana sana sana kwa yeye kutoa tamko kama hili, je nchi hii mmiliki wake ni nani, je wananchi wanachukuliwaje au sati zao zinapokelewaje kwenye kupiga kura kama kina nani kama wasio faa au hawana mamlaka ya kumpa kura mwingine yeyote yule? TAFAKARI kuna kitu lazima. ila tufahamu tu kwamba Mwenyezi Mungu ni wa kila mtanzania na ndiye huamua nini kifanyike na nini kisifanyike.
Ndio Samia is here to stay
 
Kwa katiba hii ya kishamba ni kweli kabisa mama Samia atakuwepo madarakani miaka 10 ijayo.... hakuna haja ya kusumbua akili Kwenye hili
 
Maana yake sanduku la kupigia kura halina maana uchaguzi ni kiini macho tu kuna kikundi cha watu wachache ndio wanaamua nani ashinde uchaguzi
 
Kauli hii kutoka kwa Waziri Mkuu akiwa kwenye uzinduzi wa mpango wa maendeleo na kampeni ya UVIKO ni ya kufikirisha sana sana, ametangaza kuwa Rais Samia atakuwa Rais wa Tanzania mpaka 2030,
Nchi ya mazombie hii. Demokrasia inakanyagwa lkn watu wake wanakenua tu.

Kauli ya Majaliwa ni tangazo rasmi kwamba 2025 kutakuwa na UCHAFUZI mwingine kama ule wa 2020.
 
Kwa nchi hii ambayo
Kauli hii kutoka kwa Waziri Mkuu akiwa kwenye uzinduzi wa mpango wa maendeleo na kampeni ya UVIKO ni ya kufikirisha sana sana, ametangaza kuwa Rais Samia atakuwa Rais wa Tanzania mpaka 2030, binafsi na laani kauli hii na inafanya wapenda Democrasia na Maendeleo wawe na maswali mengi sana ya kufikirisha, je mfumo wa upigaji kura na uvamizi utakuwa kama ule wa Mwaka 2020? maana hili tu pekee ndio laweza kufanikisha swala hili.

Inasikitisha sana sana sana kwa yeye kutoa tamko kama hili, je nchi hii mmiliki wake ni nani, je wananchi wanachukuliwaje au sati zao zinapokelewaje kwenye kupiga kura kama kina nani kama wasio faa au hawana mamlaka ya kumpa kura mwingine yeyote yule? TAFAKARI kuna kitu lazima. ila tufahamu tu kwamba Mwenyezi Mungu ni wa kila mtanzania na ndiye huamua nini kifanyike na nini kisifanyike.
Ulitaka asemeje? Kwa nchi hii ambayo Raisi ndio kila kitu,ndio mtoa ajira mkubwa,anaweza kukupandisha au kukushusha mpaka mashetani washangae,Mimi sioni ajabu kwa PM kusema hivyo,anaweka mazingira ya kulinda ugari wake
 
Nchi ya mazombie hii. Demokrasia inakanyagwa lkn watu wake wanakenua tu.

Kauli ya Majaliwa ni tangazo rasmi kwamba 2025 kutakuwa na UCHAFUZI mwingine kama ule wa 2020.
Wewe ambaye siyo Zombie, ingia basi barabarani
 
Kauli hii kutoka kwa Waziri Mkuu akiwa kwenye uzinduzi wa mpango wa maendeleo na kampeni ya UVIKO ni ya kufikirisha sana sana, ametangaza kuwa Rais Samia atakuwa Rais wa Tanzania mpaka 2030, binafsi na laani kauli hii na inafanya wapenda Democrasia na Maendeleo wawe na maswali mengi sana ya kufikirisha, je mfumo wa upigaji kura na uvamizi utakuwa kama ule wa Mwaka 2020? maana hili tu pekee ndio laweza kufanikisha swala hili.
Na watu wakashangilia!

Sioni lolote unalosema kuwa "kauli hiyo ni ya kufikirisha"

Kuna kipi cha kufikirisha kwenye kauli potofu kama hiyo. Yeye anatambua kwamba waTanzania wataendelea kuwa mateka daima chini ya CCM. Yeye anatambuwa kwamba polisi na vyombo vingine vya dola daima vitaendelea kutumika kwa manufaa yao waliopo kwenye madaraka bila uhalali.
Kwa hiyo sioni lolote la "kufikirisha"; ila naona maendelezo ya kukandamizwa waTanzania.

Ninaamini sasa kuliko wakati mwingine wowote kwamba Tanzania imefika mahali ambapo ni lazima mabadiliko yatokee kwa njia moja au nyingine.

Naona huyu Waziri Mkuu sasa anajitokeza na kujipambanua moja kwa moja kwamba ni mmoja wa watu wasiolitakia mema taifa hili.

Yeye ndiye anayewaamulia waTanzania wote?
 
Ana maana hii hapa [emoji116]

View attachment 1970392
Moja ya malengo yake ni kulifanya jiji la Mwanza kuwa kitovu cha biashara EAC, lazima apewe muda wa kutosha ili atimize kusudio lake, na kwa hilo mama anaupiga mwingi sana anatema pesa tu, na haiwezi pita miezi mitatu bila kudhuru Mwanza kuchungulia miradi ya matrilion anayoyatoa jijini Mwanza.
 
Ukiunganisha na ile kauli ya Samoa kwamba hata tukichagua kwingine,CCM ndiyo itakayounda serikali basi picha kamili inakuja!

Ila kwenye haya matamko yako wasisahau Mungu yupo na anaweza kuamua tofauti!

Kama Samia amepata funzo kwa mwendazake basi anapaswa kukemea hizi kauli za rejareja!
 
Ni vizuri kasema mapema kabla hamjaanza kumzingizia anamuhujumu rais kwa sababu anataka uraisi 2025!!
 
Alichokisema PM ndio ukweli wenyewe. Mengine tumuachie Mungu.
 
Anajipendeza ili 2025 achaguliwe tena kuwa Waziri Mkuu. Wakati atakuwa tayari ameshakaa miaka 10 ya Uwaziri Mkuu ambayo inatosha kabisa na wengine nao wapewe nafasi
 
Huyo alikuwa kwenye hati hati ya kuwa back bencher kama mama angeunda serikali upya, kwa hiyo kabaki na kazi ya kuabudu tu hana jipya....
 
Back
Top Bottom