Waziri Mkuu Majaliwa ana maana gani kusema Rais Samia atakuwa Rais hadi 2030?

Ndo zao Hawa utadhani wao ni Mungu, tulionya Sana Mambo Kama haya kipindi Cha mwendazake
 
Ubwege wa kijikomba uwaziri mkulu wa miaka 10 , uzuzu kama uzuzu wa chura
 
Una mke nyumbani? Kama unaye, ukimsikia kwa mfano anasema kuwa "nitakuzalia watoto watatu" utamwelewaje?
Waziri Mkuu amesema Mama "atakuwa"; hajasema kuwa "Mama ni Rais mpaka 2030". Ebu tunaomba Walimu wa Kiswahili wawahi huku kwa ajili ya msaada zaidi.
Kwani kwa mfano, mtu kutarajia kitu kama anavypoenda yeye kiwe ni kosa kisiasa/ kidemokrasia?
 
Huyo anachoweza ni kupaka kiwi nyeusi kichwani mwake tu
Kumbe hawa wazee wanaficha mvi ili wasionekane vibabu, wasiwe na wasiwasi utafiti umeshafanyiaka kuonyesha umri wa kijana unaenda hadi miaka 65......kwa hiyo bado unakuwa na haki ya kuitwa baby.
 
Mimi ni CHADEMA, Ila kauli uchambuzi uko Very objective. Hongera sana
 
PM haaminiki tena, na tamko lake halina maana yoyote kwa kuwa hakuna Mtanzania anayetamani kuendelea na hali ilivyo.....wote wapoteza sifa........wanaweza kujiweka wenyewe kama ilivyo desturi yao lakini haiba imepotea wala kuungwa mkono hakupo
 
PM haaminiki tena, na tamko lake halina maana yoyote kwa kuwa hakuna Mtanzania anayetamani kuendelea na hali ilivyo.....wote wapoteza sifa........wanaweza kujiweka wenyewe kama ilivyo desturi yao lakini haiba imepotea wala kuungwa mkono hakupo
Watanzania tuamkeni
 
Jamaa wanajua watapita bila kupingwa
 
Huyu majaliwa 2025 akatafute kazi nyingine miaka 10 inamtosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…