Waziri Mkuu Majaliwa anabaniwa publicity na mfumo wa dola (TBC1 hairushi matukio yake mubashara lakini ya Waziri Mbarawa yanarushwa live)

Kwa wiki kadhaa nimekuwa nikifuatilia chombo chetu cha habari cha Taifa TBC1 na kwa mtu mwenye akili timamu atagundua kuna namna fulani ya kumbania Waziri Mkuu wetu publicity.

Wiki iliyopita alikuwa na ziara ya kikazi mkoani Songwe na kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo lakini matukio yake hayakurushwa mubashara na TBC1 lakini siku hizo hizo Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi alipewa Live coverage akitilia saini mikataba yabujenzi wa barabara.

Hivi kweli Waziri Mkuu hapewi live coverage akifanya shughuli za Serikali lakini Waziri anapewa. Kwa mtazamo wangu naona kuna hofu kuwa PM akipewa publicity anamu-outshine bosi wake hivyo cha kufanya nikutompa live covarage kwenye kazi zake.

Niliwahi kuona siku moja akiwa kwenye tukio moja TBC1 ilianza kurusha mubashara lakini baada ya muda ilikatishwa bila sababu za msingi, hii haileti picha nzuri kwa Serikali na ni dharau kwa PM
 
Hao wote ni Pwani hatuna shida nao
 
Mbona na wewe yako ya uchawa hayarushwi, achana na jambo lisilokuletea shibe.
 
aiseee kweli, siku hizi PM ni kama hasikiki hivi
 
Nchi haindeshwi kwa drama
Hili Kwa Mwenye Akili timamu keshalinotice.

Miezi Kadhaa nyuma Waziri Wetu Mkuu alipokua kwenye ziara, alionekana akifanya mambo makubwa na watu wakawa wanamfatilia sana kupitia vyombo vya Habari na akaonekana anafanya kazi kubwa na ya kizalendo walau kufanania na JPM.

Sasa wahuni wameona isiwe tabu, ni kumfanya asionekane kwenye Jamiii.
 
nadhani ni kutokuwa na uelewa ndo mana, Hapo ni jukumu la Wizara husika mana vyombo vya habari nao wapo kazini kwa hiyo hawafanyi kazi bure na hawarushi kitu live kama hakuna makubaliano yoyote na wao. Inawezekana TBC wasirushe live ila kuna vyombo vingine ambavyo vinarusha live.
PM kaenda Songwe kapewa coverage ndogo kuliko Mkuu wa mkoa?
 
Back
Top Bottom