Waziri Mkuu Majaliwa anabaniwa publicity na mfumo wa dola (TBC1 hairushi matukio yake mubashara lakini ya Waziri Mbarawa yanarushwa live)

 
Anafahamika zaidi kuliko Rais wake, kisingizio iwe namna ya hatua za pupa anazochukua baadhi zikiwa za kiuonevu na zenye umagufuli style ndio boss labda hapendi maana zinaleta umaarufu wake kwa raia
Very possible
 
Hao wote ni Pwani hatuna shida nao
 
Mbona na wewe yako ya uchawa hayarushwi, achana na jambo lisilokuletea shibe.
 
aiseee kweli, siku hizi PM ni kama hasikiki hivi
 
Nchi haindeshwi kwa drama
 
PM kaenda Songwe kapewa coverage ndogo kuliko Mkuu wa mkoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…