johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kumbe kuna wanafunzi wanakaa chini hata baada ya miaka 5 ya majigambo na kelele nyingi za awamu hii?!Waziri mkuu mh Majaliwa amefanya ziara ya kushtukiza katika moja ya shule za wilaya ya mkuranga na kukuta wanafunzi wa msingi na sekondari wamekaa chini.
Mh Majaliwa ameshangazwa na hali hiyo na kutu muda wa wiki mbili madawati yapatikane na watoto wote wakae.
Majaliwa amesema wilaya hiyo ina viwanda zaidi ya 70 sasa inakuwaje DC na DED wanashindwa kutumia fedha za CSR kununulia madawati.
Source ITV habari!
Mkuu mi mwenyewe hili nimelishangaa, tena hapo Mkuranga njia ya kuelekea kusini karibu na Mbagala?😨😨Kumbe kuna wanafunzi wanakaa chini hata baada ya miaka 5 ya majigambo na kelele nyingi za awamu hii?!
Eti ndio kashituka.Mh Majaliwa ameshangazwa na hali hiyo na kutu muda wa wiki mbili madawati yapatikane na watoto wote wakae.
Madai yake anashangazwa,wakati tatizo lipo nchi nzimaKumbe kuna wanafunzi wanakaa chini hata baada ya miaka 5 ya majigambo na kelele nyingi za awamu hii?!
Hili ndiyo huwa linanishangaza sana unakuta shule imezungukwa na msitu lakini haina madawati.Aende na rufiji huko wana misitu lakini watoto wanakaa chini sjui kwa nini haya mambo
Waziri mkuu mh Majaliwa amefanya ziara ya kushtukiza katika moja ya shule za wilaya ya mkuranga na kukuta wanafunzi wa msingi na sekondari wamekaa chini.
Mh Majaliwa ameshangazwa na hali hiyo na kutu muda wa wiki mbili madawati yapatikane na watoto wote wakae.
Majaliwa amesema wilaya hiyo ina viwanda zaidi ya 70 sasa inakuwaje DC na DED wanashindwa kutumia fedha za CSR kununulia madawati.
Source ITV habari!