The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Kazi ya bunge ndio top job Kwa Tanzania unataka akafanye Kazi Gani Sasa Kwa umri wake!!! Astaafu harafu awe benchi asubilie nafasi za kuhurumiwa!!
Nimemdharau sana!Huyu angepumzika tu
Hivi hawa watu hawaoni
Aibu,maana akirudi atakuwa mbunge alafu hana uwaziri mkuu
Akiwa bungeni ataanza kuomba wajengewe sijui matundu ya choo,mara visima vya maji,mara anaomba madawati
Ova
Inashangaza kwa kweli. Khaaah.Huyu angepumzika tu
Hivi hawa watu hawaoni
Aibu,maana akirudi atakuwa mbunge alafu hana uwaziri mkuu
Akiwa bungeni ataanza kuomba wajengewe sijui matundu ya choo,mara visima vya maji,mara anaomba madawati
Ova
Acha zako basi. Huyu anafaa kuendelea na nafasi hiyo na hata Rais 2030.Ulafi wa madaraka ni uraibu, kheri angerudi shule kufundisha, tungejua anaipenda kazi yake. Lol.
Ya kugonga Meza? Wote hao Ex 1St Lady na PM walitakiwa warudi skonga kushika chaki, inge make sense, sio hii ya kung'ang'ania kugonga meza. LolAcha zako basi. Huyu anafaa kuendelea na nafasi hiyo na hata Rais 2030.
Labda anataka uraisi kwa hiyo anataka awemo bungeni ili asipotee kwenye ramani ya siasaDah! Angestaafu kulingana na wadhifa alio nao angeheshimika sana, tofauti na hapo tafsiri itakuwa haridhiki na alivyo navyo.
Nadhani ndicho anakitakaLabda anataka uraisi kwa hiyo anataka awemo bungeni ili asipotee kwenye ramani ya siasa
Njaa ni noma,Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ametangaza kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa mkoani Lindi, amesema hayo akilihutubia Bunge kwa mara ya mwisho leo Juni 26, 2025 jijini Dodoma.
"Ninawashukuru sana wana Ruangwa kwa kuniunga mkono na kunipatia ushirikiano katika kipindi chote nilipokuwa nikitekeleza majukumu ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ninatambua wakati mwingi nimekuwa nje ya jimbo nikilitumikia taifa lakini wana Ruangwa wameendelea kuniunga mkono. Nitumie nafasi hii kusema asanteni sana na ninamuomba Mwenyezi Mungu azidi kuimarisha mshikamano uliopo kati yetu sote. Ninaomba kuwajulisha kuwa ninakuja kuchukua fomu ya kuomba ridhaa yenu tena."
Soma, Pia: Ruangwa wamlipia Fomu ya Urais Dkt. Samia na Ubunge Majaliwa
Kasema hapo alikuwa nje ya jimbo mda mrefu,kwahiyo sasa hivi ndio anaenda kufanya kazi....Dah! Angestaafu kulingana na wadhifa alio nao angeheshimika sana, tofauti na hapo tafsiri itakuwa haridhiki na alivyo navyo.
Na kulipwa mafao yote kama waziri mkuu mstaafu anataka tena ubunge alipwe pesa za ubunge tenaWaziri Mkuu Kassim Majaliwa, ametangaza kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa mkoani Lindi, amesema hayo akilihutubia Bunge kwa mara ya mwisho leo Juni 26, 2025 jijini Dodoma.
"Ninawashukuru sana wana Ruangwa kwa kuniunga mkono na kunipatia ushirikiano katika kipindi chote nilipokuwa nikitekeleza majukumu ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ninatambua wakati mwingi nimekuwa nje ya jimbo nikilitumikia taifa lakini wana Ruangwa wameendelea kuniunga mkono. Nitumie nafasi hii kusema asanteni sana na ninamuomba Mwenyezi Mungu azidi kuimarisha mshikamano uliopo kati yetu sote. Ninaomba kuwajulisha kuwa ninakuja kuchukua fomu ya kuomba ridhaa yenu tena."
Soma, Pia: Ruangwa wamlipia Fomu ya Urais Dkt. Samia na Ubunge Majaliwa
Mafao analipwa asilmia 80 ya mshahara wa waziri mkuu aliyepo na mkewe analipwa bado tu anataka ubunge baada ya kukaa miaka 10 uwaziri mkuuAngestaafu, Kuna zile za kua balozi na Ofisi ya Raisi, Kua katibu Mkuu ni nyingi tu lkn sio ubunge
Dah! Angestaafu kulingana na wadhifa alio nao angeheshimika sana, tofauti na hapo tafsiri itakuwa haridhiki na alivyo navyo.
Heshima haileti chakula mezani mkuu hata mi kama nafasi ipo ningegombea hadi waseme pooDah! Angestaafu kulingana na wadhifa alio nao angeheshimika sana, tofauti na hapo tafsiri itakuwa haridhiki na alivyo navyo.
Bado kijana ana nguvubza kulitumikia taifa kwanini astaafuDah! Angestaafu kulingana na wadhifa alio nao angeheshimika sana, tofauti na hapo tafsiri itakuwa haridhiki na alivyo navyo.
Huyu naye amekuwa mlafi.Ajiandae kukaa benchi tu
No reform no election
Nadhani mama kamuhaidu kitu.Huyu angepumzika tu
Hivi hawa watu hawaoni
Aibu,maana akirudi atakuwa mbunge alafu hana uwaziri mkuu
Akiwa bungeni ataanza kuomba wajengewe sijui matundu ya choo,mara visima vya maji,mara anaomba madawati
Ova