Kwa mujibu wa maelekezo ya Rais Dkt. Samia, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua Tume maalum ya wajumbe 21 ambao wamebobea kwenye masuala ya ujenzi kuchunguza chanzo cha tukio la ajali ya jengo lililoanguka Kariakoo, pamoja na kufahamu ubora na uimara wa majengo yote yaliyoko Kariakoo. Tukio hilo lilisababisha maafa makubwa, na Tume hiyo imepewa maagizo mazito, huku ikiongozwa na Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Maafa, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Brigedia Jenerali Hosea Ndagala.
Kwa mujibu wa maelekezo ya Rais Dkt. Samia, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amezindua Tume maalum ya wajumbe 21 ambao wamebobea kwenye masuala ya ujenzi kuchunguza ajali ya jengo lililoanguka Kariakoo na kupewa maagizo mazito huku ikiongozwa na Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Brigedia Jenerali Hosea Ndagala.
Kwa mujibu wa maelekezo ya Rais Dkt. Samia, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amezindua Tume maalum ya wajumbe 21 ambao wamebobea kwenye masuala ya ujenzi kuchunguza ajali ya jengo lililoanguka Kariakoo nakusababisha maafa makubwa na kupewa maagizo mazito huku ikiongozwa na Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Brigedia Jenerali Hosea Ndagala.
Siyo kitu cha ajabu hata kidogo katika nchi hii, Tume nyingi sana za namna hii zimewahi kuundwa na hakuna kitu chochote kile cha maana ambacho WaTanzania wamepata kutokana na Tume hizo.
Ile Tume iliyoundwa na Waziri mkuu kipindi kile(Edward Lowasa) baada ya ajali ya chang'ombe village inn ripoti yake ilifanyiwa kazi? Vp ripoti ya Ile Tume ya Manispaa ya ilala ?
Ni upuuzi mtupu kuunda tume ya kuchunguza Jambo Kisha ripoti yake haifanyiwi kazi..
Ni matumizi mabaya ya fedha za umma.