mabutu1835
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 909
- 1,425
Mwenye namba za Chalamila nimpe pole
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imba ule wimbo; "msimamishe msimamishe waone...."kwanza watwambie wataufungua lini ule mtaa maana wameufunga na biashara zmesmama.
Kile kifusi kina dhahabukwanza watwambie wataufungua lini ule mtaa maana wameufunga na biashara zmesmama.
Hiyo tume haitakuja na majibu yoyoteUnaunda tume halafu kiongozi unamuweka mwajiriwa unategemea nini? Wenyeviti wa tume wekeni watu wasiofungamana na upande wowote ili pasiwe na uoga wowote.
Kenge katika ubora wao, wakishatengeneza hz tume, hujiona wamefanya jambo la maaana Sana, tume ya nini wakati wizara,mkoa, wilaya na zipo na watendsji wake? Hili sio jengo la kwanza wala sio la mwisho kuanguka,Kwa mujibu wa maelekezo ya Rais Dkt. Samia, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua Tume maalum ya wajumbe 21 ambao wamebobea kwenye masuala ya ujenzi kuchunguza chanzo cha tukio la ajali ya jengo lililoanguka Kariakoo, pamoja na kufahamu ubora na uimara wa majengo yote yaliyoko Kariakoo. Tukio hilo lilisababisha maafa makubwa, na Tume hiyo imepewa maagizo mazito, huku ikiongozwa na Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Maafa, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Brigedia Jenerali Hosea Ndagala.
PIA SOMA: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Kamati ya Uchunguzi kuporomoka kwa jengo Kariakoo yazinduliwa Nov 21, 2024
Alafu wana mkwala,anakuambia nimemchagua brigadier nani sijuiKenge katika ubora wao, wakishatengeneza hz tume, hujiona wamefanya jambo la maaana Sana, tume ya nini wakati wizara,mkoa, wilaya na zipo na watendsji wake? Hili sio jengo la kwanza wala sio la mwisho kuanguka,
Huyu kenge hajuhi madaraka yake, badala ya kufukuza watumishi wa ardhi
Kaole sanaa groupKwani hawawezi kufanya kazi mpaka wazindue
Eti azindua
Hii Nchi Bado Sana