Wanazidi kugawana keki ya taifa,
 
Awamu ya sita inaongoza kuwa na viongozi vichaa.kila siku tume na hakuna majibu.utaundaje tume kuchunguza sababu za kuanguka jengo wakati sababu zinajulikana kabisa za ujenzi holela usiofuata uimara na usalama wa jengo ambapo vibali vya ujenzi vimetolewa na hii serikali yenu isiyofuata tarabibu za ujenzi.mliunda tume kuchunguza mauaji ya mzee kibao lakini Hadi Sasa kimya,mkaunda tume ya kutatua kero za kikodi kariakoo lakini Hadi Sasa kimya,mkaunda tume ya kuchunguza mauaji ya lisu lakini kimya,mkaunda tena tume ya kuchunguza mauaji ya mfanyabiashara wa madini kule mtwara yaliyotekelezwa na polis lakini Hadi Sasa kimya.Hizi tume mnaunda ili kujilipa posho ?
 
Posho ya mjumbe kwa siku haipungui Tshs 500,000 kwa siku ongezea ofisi na usafiri.

Hadi tume inamaliza kazi bil 50 - 100 jambo la kawaida. tunywe mchuzi tusichoke nyama tumezikaribia.
 
NI mwendo wa Tume mpaka kieleweke. Lowasa aliunda Tume kama hii ya kuporomoka ghorofa
Kuna jamaa 10 walikuwa wanasafiri kwa ngalawa..maji yakaanza kuingia ndani ya ngalawa yao - walichofanya wakaunda tume ili ichunguze maji hayo yanaingiaje ingiaje kwa ngakawa yao.
Unaweza kujua nini kiliwasibu baadaye.
 
Hivi hata kuangalia tu kwa macho kunahitaji TUME..., badala ya kuangalia Jengo hili kuanguka wangeangalia kwanini majengo kama haya hatarishi yanaendelea kuongezeka kama Uyoga.

By the way kuna uhitaji wa kuanzisha Tume ya kuangalia Tume zinazoanzishwa kama huwa zina Tija
 
Hakuna haja ya tume, aliyechimba pembeni ndiye aliyesababisha janga. Unganisha na mkandarasi aliyesimamia jengo.
 
Hakuna haja ya tume, aliyechimba pembeni ndiye aliyesababisha janga. Unganisha na mkandarasi aliyesimamia jengo.

Suala hili linafikirisha, Je, tukio hilo ni hujuma za makusudi ? Tazama hii video kisha toa maoni yako.
 

Attachments

  • 5885669-2da9d10310d2077cab41f4c737a3e62f.mov
    2.4 MB
Atoe taarifa ya tume Ile ya mapendekezo ya wafanya biashara Kariakoo kwanza
 
Waziri mkuu zigo lote la nnya huwa kwake, maagizo yake hayatekelezwagi ata
Ni mmoja wa Waziribmkuu anayejali cheo kuliko heshima yake.

Hakuna tume wala kamati aliyowahibkuiunda ikaleta mrejesho hadharani
 
Hamna kitu hapo blah blah
Tushazizoea

Ova
 
Uhuni tu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…