Waziri Mkuu Majaliwa: Maombolezo yamekwisha leo, kuanzia kesho wananchi wote nendeni mkachape kazi

Waziri Mkuu Majaliwa: Maombolezo yamekwisha leo, kuanzia kesho wananchi wote nendeni mkachape kazi

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Waziri mkuu mh Majaliwa ametangaza hitimisho la maombolezo ya msiba wa hayati Magufuli na kwamba kuanzia kesho wananchi warejee katika shughuli za kawaida na kuchapa kazi.

Chanzo: ITV habari

Ukinizingua Nakuzingua!
 
Chato ndio hivyo tena. Hospitali naomba waiendeleze kama ilivyopangwa maana binafsi nina maslahi nayo, ingawa sijawafika huko.
 
Kwanza hatuna imani naye. Alitudanganya jiwe ni mzima wa afya na anachapa kazi.

Pili siku za maombolezo zipunguzwe mpaka siku 14, maana tunalazimishwa kuomboleza hata kwa watu tusiowapenda.
 
Haki ya nani! Hii nchi kwa sasa haina PM! Kwa hiyo anataka kutuaminisha wakati wote wa hizo siku 21, watu walikuwa wanalala tu ndani kwa maombolezo! Na walikuwa hawafanyi kazi!

Kwanza hakuwa hata na sababu ya kuongea chochote maana kila mtu alikuwa anafahamu kuhusu jambo hilo.
 
Labda izo ni salamu za kuruhusiwa kwa wale ma-mc na wenye kumiliki kumbi za masherehe kwani kazi zao zilisimamakama ni hao sawa lakini kwa sie machinga zilikuwa hazituhusu izo siku za maombolezo
 
Huyo hana maana kabisa, hawezi kuaminika tena. Anaweza akalidanganya taifa kwamba rais yupo na anachapa kazi kumbe mtu yuko mortuary. Bure kabisa huyu bwana.
 
Mr.PM nae...yaani raisi anachapa kazi sisi ndio tulale kweli? Au ule uteuzi sio kuchapa kazi? Mr.PM kamoooon
 
Back
Top Bottom