Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Hivyo vyoo vya kuchuchumaa vya shilingi 40,000.00 ni vya kihindi na vinakuwa bila tenki ya maji ya kuflush. Ukitaka tenki unauziwa la plastiki ambayo halikawii kuharibika. Vyoo vya kuchuchumaa aina ya RAK ( kutoka UAE) na Armitage Shanks (kutoka Uingereza) , huwezi kupata chini ya 300,000 ikiwa pamoja na tenki la kuflush la ceramic. Na hivi vyoo huwezi kuvipata Uyui au hata Tabora. Na ndio vinavyopaswa kutumika katika majengo ya serikali.Nikweli swali limeuliukizwa kwenye kadanamnasi jibu jibu limetokewa ni , Asian. Je Asian inauzwa 300,000
? Jamani, hata kama mnamtetea mwana taaluuma mwenzenu sio hivyo . Angesema kaweka European hata kwa 1,000,00tsh ningekubali haraka, lakini kwakukili ni Asian , hiyo ni 40,000 .
Amandla...