Waziri Mkuu Majaliwa, pokea makadirio yangu kibanda cha VETA Tabora

Hivyo vyoo vya kuchuchumaa vya shilingi 40,000.00 ni vya kihindi na vinakuwa bila tenki ya maji ya kuflush. Ukitaka tenki unauziwa la plastiki ambayo halikawii kuharibika. Vyoo vya kuchuchumaa aina ya RAK ( kutoka UAE) na Armitage Shanks (kutoka Uingereza) , huwezi kupata chini ya 300,000 ikiwa pamoja na tenki la kuflush la ceramic. Na hivi vyoo huwezi kuvipata Uyui au hata Tabora. Na ndio vinavyopaswa kutumika katika majengo ya serikali.

Amandla...
 
Sawa Nimekuelewa . Lakini je hio "GN" ni ya mwaka gani?
 
Haujaweka gharama za tiles, za vitasa na bawaba, kupiga dawa ya mchwa, dpc na ulinzi wakati kinajengwa .

Amandla...
Mnabishana bila kujua standard ambayo serikali iliitaka na mnayozungumza ninyi

Kwani serikali ilihitaji hizi standards zenu?
 
Nimekuuliza Armoured Cable inafika Uyui kwa Bei gani ?

Upigaji upo pale pale. Huwezi kujenga hicho kibanda kwa milioni 11. Mimi nikagusia tu ishu ya umeme.
Na mwingine hapo juu amegusia tu ishu ya bati

Kibanda cha bati 10 kitumie bati 38 duuh[emoji849]

Ajabu hii
 
Wee kweli fundi mchundo ambaye umekaririshwa na huna uwezo wa kutumia akili zako! Kwanza kanuni ipi ya ujenzi wa nyumba ya serikali imesema tenki za plastic zisitumike!

Hoja ya msingi hapa ni ujenzi wa banda na siyo nyumba! Huoni kuna tofauti ya matumizi kati ya banda na nyumba?
 
Mkuu ujenzi hsupigiwi kura.
Ukiona jengo ka serikali linasimama basi ujue mahesabu yameshapigwa hapo, siyo bka bla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…