Jamani!... Mbona Dreamliner imetua asubuhi ya leo ikitokea Mumbai?? Kila wiki kuna safari za Mumbai, ni vema kufuatilia uwe na taarifa sahihi.Kwenye reli SGR naweza kuwaelewa maana itachochea ukuaji wa uchumi maana itagusa watu wengi saana though ni kosa kuijenga kwa kitumia fedha za ndani 12 Trilion. Kwa nini ukiumize kizazi hiki kwa kukibana wakati project itaishi zaidi ya miaka 100?
Huku kwenye ndege so afar ishafeli...tangu hiyo Dreamliner itue kwa mfano niambieni ishasafiri km ngapi angani hadi leo hii?
Mawazo yanaweza kuwa mazuri ila approach ndiyo bomu.
CCM ni kichwa cha mwendawazimu kinachotembea!Hivi inawezekana vipi watu kama hawa wanaingia madarakani?
Bado wanaendelea kununua ngurue pori kwa jasho la mkulima.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu yamekamilika, na zinatarajiwa kuwasili mwaka 2021/22.
Akiwa Bungeni Dodoma leo, Waziri Mkuu amesema ununuzi huo utawezesha Serikali kuwa na jumla ya Ndege 12. Aidha, amesema kuanzishwa kwa safari za Guangzhou (China) kutakuwa chachu ya kuimarisha Biashara, Utalii na Ajira.
Vilevile, Majaliwa amesema ujenzi na upanuzi wa Viwanja vya Ndege vya Shinyanga, Kigoma, Tabora na Sumbawanga vitakavyogharimu Tsh. Bilioni 176 unaendelea.
Huo ndio ukweli, siyo kwamba wanaenda kununua leo, order ilishatolewa siku nyingi tu na Magu alishawahi kusema hizo ndege wananunua cash, maana yake malipo ya awali yalishafanyika na ndege zikaanza kutengenezwa. Kwa sasa hakuna namna wanaweza kusitisha tena hayo manunuzi. Kama ni hasara tumeshaingia hasara kama taifa kwa uamuzi wa mtu mmoja.Common sense tu tangia tuambiwe hizo ndege zimeshanunuliwa ni muda.
Manunuzi ya ndege mpya sio kama gari unaenda show room na kuondoka nalo.
Ndege unatoa order ndio unatengenezewa na serikali imesha commitment by now sehemu kubwa ya deposit imeshalipwa.
Actually alipata ushauri mmbaya alitakiwa awaache wakaguliwe kwa sababu yeye keshafanya yake ya kuleta ndege; failure ni tatizo la management.
Lawama za watanzania zilijikita kwenye bad investment, but then hata huko alishajilinda ndege ATCL inazitumia on long term lease so serikali inalipwa na bado assets ni zao.
Huo mpira ungekuwa wa watanzania sasa ATCL aiwezi kuzilipia bunge liamue ziuzwe/ akodishiwe mteja mwingine au ATCL ipewe. The most likely vote ATCL ipewe muda, baada ya kura hiyo matatizo ya ATCL asingekuwa anabebeshwa mtu mmoja bali bunge zima.
Lazima tukubali ukweli only thing Magufuli tried was trying to give the airline a chance, kufail asilimia kubwa ni mipango mibovu ya management.
I can’t deny that kwa sababu ata mimi sikuwa shabiki wa kununua ndege.Magufuli hakuwa na washauri kwa kujiona yeye anajua kila kitu. Watanzania wengi tulipinga ununuzi wa ndege kwanza si kipaumbele cha Watanzania na pili ndege hizo zingeingiza hasara kubwa sana kwa Taifa. Tatu CAG Assad 2014 alitoa ripoti ya kuonyesha kwamba hakuna sababu ya kuifufua ATCL kwani litakuwa ni loss making shirika lakini Magufuli hakuambilika. View attachment 1750895
Kwaiyo mgonjwa anaeumwa leo au kesho asubr miaka mitano au kum ijayo ndege ianze kuleta faida ndio apate tibaNdege ni chanzo cha mapato......
faida itakayopatikana hapo itaendelea kusaidia kuhudumia sekta ya afya infinitely.....
kwako kuwa na akili ya kutafakari ni jambo la anasa!!??
Wapi tiba zimekwama!!?Kwaiyo mgonjwa anaeumwa leo au kesho asubr miaka mitano au kum ijayo ndege ianze kuleta faida ndio apate tiba
I can’t deny that kwa sababu ata mimi sikuwa shabiki wa kununua ndege.
Zipo sasa kwa ivyo kama mtanzania nataka kuona wanafanikiwa regardless na mitazamo yangu ya awali.
Mkuu huyo PM presentation yake ndo hakuiweka sawa,ukweli ni kuwa mwendazake alishakuwa ametoa order na advance,hivyo hawakuwa na namna ya ku cancel hiyo order!!Only in Tanzania kuna this level of incompetence. Pamoja na madudu yote, bado wang'ang'ana na ndege.
Au umesahau PM alipita bila kupingwa? Sasa hivi unasema nini? Eti watz ndio walimchagua!!!?Watz ndiyo wanawachagua nyinyi bakini huku kwenye mitandao ya kijamii mnaandika udaku tu!! Kazi Inaendelea!!
Dreamliner na Boeing ni madege ya trip ndefu corona ikitikisa sana safari ila soon zitaanza,,tuwe wavumilivuKwenye reli SGR naweza kuwaelewa maana itachochea ukuaji wa uchumi maana itagusa watu wengi saana though ni kosa kuijenga kwa kitumia fedha za ndani 12 Trilion. Kwa nini ukiumize kizazi hiki kwa kukibana wakati project itaishi zaidi ya miaka 100?
Huku kwenye ndege so afar ishafeli...tangu hiyo Dreamliner itue kwa mfano niambieni ishasafiri km ngapi angani hadi leo hii?
Mawazo yanaweza kuwa mazuri ila approach ndiyo bomu.
Haiwezekani ATCL kuingiza faida na kuongeza ndege nyingine wakati tayari kuna hasara kubwa sana mwaka hadi mwaka ni upumbavu wa hali ya juu na pia ni kuonyesha dharau kubwa kwa ripoti ya CAG. Mimi ningependa waweke details kuhusu malipo ya ndege hizo ili kuonyesha ni mkopo au cash, yamefanywa lini na nani aliyesaini mkataba huo na ilikuwa lini. Serikali ya waongo hii siiamini hata kwa sekunde moja.
View attachment 1750898
Mku nini hospital.Serikali inapenda ndege kuliko kuboresha hospitali kwa ajili ya matibabu ya wanyonge.
Kwa ilo swal lako tu bas ndugu yang una haki ya kushangalia ununuz wa ndege maana ww una nafuu,yan ujui wap tiba tatzo nchi hii,apa nilipo mm zimepta kama siku nne iv kuna kijana alipata na tatzo alipgwa ad akazimia wakamuibia pkpk ameonekana asubui hoi hospital za apa karbu alipata uduma baadae akaenda muhimbil kwa bahat mbaya umaut ukamfka siku ya pil tokea afike muhimbil ninavyokuambia leo ni cku ya 3 mait hawatak kutoa wanadai ela ,huo ni mfano mmoja tu kuhusu hospital zetu kama hali yako kidogo sio nzur uduma kupata tatzo na ata ukifka unawaachia ndugu zako mtihanWapi tiba zimekwama!!?
Wengine wanaenda kuongeza mke inakuwa shidatena kwenye familia.Kuhusu mafao ukishafika 60 yrs tutakupa 25% ya hayo then 75% tutakupa kidogo kidogo hadi ufe...hatutaki usumbue ndugu, mķeo na watoto wako kukuuguza na kukuzika..uwe na kipato chako.
Tunajua tukiwapa mnakula zote bila kujali mbeleni inakuwaje..mnazipa familia mzigo.