Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali imekamilisha malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu

Narudia tena majaliwa akikuambia kitu subiri kwanza, mnaeza msubiri ndege na isionekane hadi mkome.
 
Haya maneno yangekua matamu zaidi kama yangeitangulia report ya CAG! Kazi kubwa ya serikali ni usalama wa watu mali zao, biashara serikali haiwezi! Ukifanya biashara Wewe serikali kwenye ushindani itabidi uuwe kina fast jet ili utawale soko! Shirika la ndege lingeweza kupata wawekezaji, serikali ikapata chake, maisha yanaenda!
 
Na upanuzi wa International Airport ya Chato nao uendelee kwa kuongeza terminal mbili mpya na Runaway moja.
Nyuzi nyingine unawaacha wenye akili zao na uelewa wa mambo wachangie,utajifunza kitu,ukada unafanya unaonyesha " utupu" ulionao.usipoitaja chato huwa bomba la majitaka linakuwasha?
 
Hao jamaa fedha sio zao na hawana uchungu nazo
Mbona mnatapatapa kama kuku anayetafuta pakutagaa?? Tulieni tuwajengee vyanzo vya mapatoo. Lazima ndoto za nyerere+ JPM ziendelezwee, najua mabeberu wako wanahangaika saaanaa. Kazi zote zinaendelea kama zilivyopangwaaaaaaaaaaaaa
 
Nyuzi nyingine unawaacha wenye akili zao na uelewa wa mambo wachangie,utajifunza kitu,ukada unafanya unaonyesha " utupu" ulionao.usipoitaja chato huwa bomba la majitaka linakuwasha?
Si katika kuunga mkono juhudi za Shujaa Uchwara au?
 
Mbona mnatapatapa kama kuku anayetafuta pakutagaa?? Tulieni tuwajengee vyanzo vya mapatoo. Lazima ndoto za nyerere+ JPM ziendelezwee, najua mabeberu wako wanahangaika saaanaa. Kazi zote zinaendelea kama zilivyopangwaaaaaaaaaaaaa
Unawazungumzia Taga Gang FC, I mean kwenye hiyo kutafuta pa kutagia! Kumbukeni nchi hii tuna Mwendazake na mh. SSH. Midege ikiuzwa usituletee michozi humu!
 
Sasa Midege yote ya nini? Hii 9 iliyopo inatutia hasara mnaenda kuongeza mingine? Non sense.
 
Kama nakuona jinsi jasho linavyokutoka, basi unaona umeandika pointiii kumbe ujinga mtupu kuliko hata ujinga wa bashite
 
Mkuu Fuso huo ni ukatili hata shetani haoni ndani
 
..kuna anayeweza kutuhakikishia kwamba tukiongeza ndege nyingine 3 ATCL itaanza kupata FAIDA?

..pia kusema kwamba ndege ni mali ya SERIKALI, na inachofanya ni kuzikodisha kwa ATCL nadhani ni ubabaishaji.

..serikali haiwezi kukwepa hasara hii kwasababu inamiliki ATCL kwa asilimia 100.
 
Hii ni Serikali ya wendawazimu aiseh!
CAG keshaweka wazi kuwa ATCL mpaka sasa wameshapata HASARA YA BILIONI 60 FEDHA ZA KITANZANIA......!!!Leo Majaliwa anadai bado wanaongeza ndege zingine 3 ili ATCL iendelee kutengeneza HASARA....This is really absurd!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…