Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,652
- 2,273
Kwenye ruzuku mimi sipo, lakini hapo kwenye gawio na kodi, nipo! Serikali haiwezi kufanya biashara, kwa sababu biashara ni ushindani, wewe Manji shindana na Bahkresa, huwezi kushinda na Majaliwa! Unanipata ndugu yangu!?Hayo mashirika yote na makampuni unayoyalalamikia hayapaswi kuendeshwa na Serikali ndio, na ndio maana yanatakiwa kutoa gawio baada ya kuendeshwa kwa faida... Na huo ndio mwelekeo wa kibiashara. Naona bado unahusisha haya mashirika na upataji wa ruzuku.
Huyu ni kati ya Viongozi walokuwa wanamwogopa sana Hayati JPM.....!!Majaliwa anazidi kuniaibisha
Naona tunaanza kupatana sasa, ni kwamba mashirika yote na makampuni yanayomilikiwa na Serikali sasa yanatakiwa yashindane na kina Manji, Bahkresa na wengine kwenye uwanja sawa ili mwisho wa mwaka faida ikipatikana inarudi kama gawio Serikalini kama ilivyo kwa Bahkresa na wengine.Kwenye ruzuku mimi sipo, lakini hapo kwenye gawio na kodi, nipo! Serikali haiwezi kufanya biashara, kwa sababu biashara ni ushindani, wewe Manji shindana na Bahkresa, huwezi kushinda na Majaliwa! Unanipata ndugu yangu!?
Kwene Biashara kuna vitu tunaita Investment Cost na Return of Investment(ROI). Lazima kuwa na kipindi au muda maalumu wa kurudisha gharama ya mtaji. Ukisharudisha mtaji ndipo unaanza kutengeza FAIDA!!!!Ni kawaida katika biashara....
faida baadae
Acha uongo,Serikali inapenda ndege kuliko kuboresha hospitali kwa ajili ya matibabu ya wanyonge.
Nahisi zilishalipiwa toka mwendazake hajaenda zakeKweli sikio la kufa halisikii dawa.
Mkuu, tangu uhuru wakati Baba wa taifa alipotaifisha mashirika yakawa SU, mashule hata sera ya ujamaa kwa ujumla wake, yamekufa tu! Kupata watu 100 wanao jali masilahi ya wote, waendeshe hayo mashirika kwa niaba yetu ni ngumu sana! Angalia kwa upana, SACCOS, vyama vya ushirika, wanyonge wanapigwa, wachache wananufaika!Naona tunaanza kupatana sasa, ni kwamba mashirika yote na makampuni yanayomilikiwa na Serikali sasa yanatakiwa yashindane na kina Manji, Bahkresa na wengine kwenye uwanja sawa ili mwisho wa mwaka faida ikipatikana inarudi kama gawio Serikalini kama ilivyo kwa Bahkresa na wengine.
mwambie huyu hajielewi...Magu ali play role kubwaAcha uongo,
Toka uhur hospitali za wilaya ni 65
Magufuli kajenga karibia 90 kwa miaka mitano,
Vituo vya afya karibu mia 500,
Zahanati kali elfu moja na vyote ni vya kiwango.
Hospitali za mikoa kalibu kumi na za rufaa kakibu sita na za kanda pia zipo
Bado unaona ndege ni nyingi kuliko mahospitali?
Au umekula maharage yasiyojulikana.
uongo upi?Sio mimi naona hafai bali kwa mujibu wa katiba yetu kitendo alichofanya cha kudanganya uma ni kwamba hafai.Suala la kwamba Majaliwa hafai sio maoni yangu binafsi bali ni kwa mujibu wa Katiba yetu.Umeelewa?
Maombi yenu huwa hayafiki mbali,yanaishiaga usawa Wa nyaya za umeme tu.Asante sana PM Majaliwa,nina6amini kabisa 2025 wewe ndo rais wetu,naomba iwe hivyo ,Mungu akubariki sana
wameshauriwa. Sana hilo swala nadhani wamelitolea ufafanuzi...Kweli mkuu harafu wangerahisisha kuwe na option ya editing kwenye heading
Mwendazake alikuwa ashalipia b4adanje majaliwa hana namna .Only in Tanzania kuna this level of incompetence. Pamoja na madudu yote, bado wang'ang'ana na ndege.