Baada ya malalamiko ya muda mrefu juu ya utoaji wa vibali vya kuingiza sukari nchini. Rais magufuli amepiga marufuku vibali hivyo kutolewa. Rais amemwagiza Waziri Mkuu asitoe kibali chochote cha uingizaji wa sukari toka nje ili kukuza viwanda vya ndani na kuvutia wawekezaji wengine kufungua...
www.jamiiforums.com
☝️ Pitia hiyo thread usome michango ya watu humo I recommend comments za ‘Dar-si-Lamu’ uone tatizo la bei ya sukari lilivyotabiriwa kupanda wakati ndio kwanza serikali inaanza zuio, bei ikiwa bado tsh/1500-1800
Baadhi ya wachangiaji wengine walikuwa hawa 👇
View attachment 1629563
View attachment 1629564
Kukosa ubunifu translates into lack of initiatives to cut productions costs.
Huko ndio tulikotoka kwenye sukari, like I told issue ya msingi aikuwa ‘demand and supply’ bali protectionism inabidi uelewe other economic factors. Kuna video na thread nyingi tu JF zilizokuwa zinataka serikali izuie uagizaji wa sukari kulinda viwanda vya ndani.
Hila kwa mtu kama wewe kumpa somo ni sawa na kutangwa maji kwenye kinu.
Me done.