Waziri Mkuu Majaliwa, ushauri wa bure: Usipingane na nguvu ya soko

Inawezekana ukawa haujui.unajua Ile cement ya Pakistan alikuwa anaileta Nani?.
Kipindi Cha kikwete ulikuwepo alipoingia wa chato ikapotea?
Mhh, mbona umejibu kisiasa sana badala ya kiuchumi

Yaani sababu ya kupanda kwa cement iwe ni kiwanda kujengwa awamu ya J.Kikwete?

Kwamba JPM amechukizwa na hilo ndio atukomoe consumers wadogo?

I hope kuna sababu critical than this
 
Hayo matatizo yalitokea ndani ya miaka mitano iliyopita matokeo yake yamekuja kuonekana hivi Sasa..
Bandari ya bagamoyo imeishia wapi?
Mhh, mbona umejibu kisiasa sana badala ya kiuchumi

Yaani sababu ya kupanda kwa cement iwe ni kiwanda kujengwa awamu ya J.Kikwete?

Kwamba JPM amechukizwa na hilo ndio atukomoe consumers wadogo?

I hope kuna sababu critical than this
 
Inawezekana ukawa haujui.unajua Ile cement ya Pakistan alikuwa anaileta Nani?.
Kipindi Cha kikwete ulikuwepo alipoingia wa chato ikapotea?
Kweli sijui Mkuu, hebu funguka kidogo tupate darasa hapa tujue mambo, sina idea kuhusu hiyo brand ya Pakistan
 
Tatizo ni hofu ya uchaguzi wala hakuna kingine, baada ya miezi kadhaa hali itakaa sawa
 
Hakuna cha nguvu ya soko wala nini kinachoendelea kwa sasa ni profiteering.
Issue za kiuchumi zinachangiwa kiuchumi,ukijibu tu kama uko kwenye vijiwe vya kahawa wachumi tuna wa zoom tu.Wamehangaika na sukari kikowapi mbona wametulia?

Hakuna politics kwenye economics PM akitumia nguvu hatapata suluhu kamwe hapo shida demand ni kubwa kuliko supply na ili kuondoa tatizo lazima supply iongezeke.

Kwa haraka lazima cement iruhusiwe kutoka nje kwani kuongeza uwezo wa viwanda vya ndani ni process si jambo rahisi ama kama dangote kasitisha uzalishaji wakae nae chini watatue changamoto zake aanze kuzalisha kinyume chake hawatafanikiwa.
 
Tunaongelea viwanda vya wapi mkuu ? Hivi vya bongo?,
Mara kadhaai dangote amelazimika kuzima au kupunguza uzalishaji tu kwa kukosa mifuko ya kuwekea cement ,?
 
Hofu ya uchaguzi? uchaguzi upi?.
Kwani uchaguzi umeisha lini?.hao wamenogewa na hizo bei.hii mkifanya masikhara Hali itakuwa hivi mpaka mwakani.nibora Kama wanaona wamezidiwa serikali iruhusu cement kutoka nje.hii ya Tanzania iendelee kupelekwa huko wanaposema kwenye miradi mikubwa na nyumbani kwao Rwanda.
Tatizo ni hofu ya uchaguzi wala hakuna kingine, baada ya miezi kadhaa hali itakaa sawa
 
Kwenye hili suala la cement HAKUNA haja ya kutumia kanuni za kiuchumi.
Kama gharama za uzalishaji zimepanda wangeongeza Bei Ila cement ipatikane.
Lakini cement haijapanda Bei na HAMNAA.kila siku wanazalisha lakini Kama hao twiga cement yao wanapeleka Rwanda na kwenye hyo miradi mikubwa.
Viwanda vingine vilivyobaki Sijui cement zao wanapeleka wapi.
Issue za kiuchumi zinachangiwa kiuchumi,ukijibu tu kama uko kwenye vijiwe vya kahawa wachumi tuna wa zoom tu.Wamehangaika na sukari kikowapi mbona wametulia?
 
Kwenye hili suala la cement HAKUNA haja ya kutumia kanuni za kiuchumi.
Kama gharama za uzalishaji zimepanda wangeongeza Bei Ila cement ipatikane.
Lakini cement haijapanda Bei na HAMNAA.kila siku wanazalisha lakini Kama hao twiga cement yao wanapeleka Rwanda na kwenye hyo miradi mikubwa.
Viwanda vingine vilivyobaki Sijui cement zao wanapeleka wapi.
Usikatae mkuu suluhu yake lazima i base kwenye uchumi na sio kusaka cement kwa mitutu,wanaweza pia wakaongeza kodi kwa cement inayozalishwa ndani kwa misingi ya export ili ku discourage isitoke nje jambo ambalo sio zuri kwani litafukuza wawekezaji,chamsingi hapo eidha wazungumze na dangote ama iruhusiwe cement kiasi kutoka nje kuongeza supply
 
Ni ujinga wa serikali yenu ya hovyo, unazuia uingizwaji wa simenti kutoka nchi za nje ili kulinda viwanda vya ndani.... wakati huo viwanda visitambue ulinzi uliowapa!
Hao hao wakiongezewa saruji kutoka nje wanakuja tena kulalamika hoo mara serikali inaua viwanda vya kwa kuruhusu saruji kutoka nje
 
Mtajuana wenyewe WANYONGE.
Usikatae mkuu suluhu yake lazima i base kwenye uchumi na sio kusaka cement kwa mitutu,wanaweza pia wakaongeza kodi kwa cement inayozalishwa ndani kwa misingi ya export ili ku discourage isitoke nje jambo ambalo sio zuri kwani litafukuza wawekezaji,chamsingi hapo eidha wazungumze na dangote ama iruhusiwe cement kiasi kutoka nje kuongeza supply
 
Sukari haijawahi kushuka licha ya rais mwenyewe kupiga mkwara Sasa hii sementi ndiyo itashuka
 
Ukileta siasa kwenye maswala ya kitaalamu haya ndio matokeo yake. Huwezi kuinua uchumi wako kisa tu wewe ni dikteta.

Kama supply iko chini na demand iko juu huwezi kuzuia mteja mwenye shida na bidhaa fulani kuitafuta kwa bei yoyote na ndio chanzo cha bei kupaa.

Baada ya vita na Uganda mwaka 1979 hii ndio hali iliyotufika, bidhaa zote zilitoweka na kilichotokea ni bidhaa kuuzwa kwa "Mwendo wa kuruka" na huko ndiko tunakoelekea hizi ni dalili tu na hakuna atakayezuia hili lisitokee.
 
Issue za kiuchumi zinachangiwa kiuchumi,ukijibu tu kama uko kwenye vijiwe vya kahawa wachumi tuna wa zoom tu.Wamehangaika na sukari kikowapi mbona wametulia?

Hakuna politics kwenye economics PM akitumia nguvu hatapata suluhu kamwe hapo shida demand ni kubwa kuliko supply na ili kuondoa tatizo lazima supply iongezeke.

Kwa haraka lazima cement iruhusiwe kutoka nje kwani kuongeza uwezo wa viwanda vya ndani ni process si jambo rahisi ama kama dangote kasitisha uzalishaji wakae nae chini watatue changamoto zake aanze kuzalisha kinyume chake hawatafanikiwa.
Kwa ivyo jibu lako la kiuchumi ni kwamba cement lazima iagizwe kutoka nje?

Kwa akili yako ‘lead time’ ya kuagiza cement hadi ifike Tanzania na Dangote akianza production week ijayo who will reach the market quicker?
 
Ugonjwa wako ni kukariri vimisamiati vya kiuchumi kunakuongopea,unawadharilisha waliokufundisha na kuthibitisha kwamba wewe ni graduate wa kada ya uchumi.Hivi ni nani hapendi kupandisha bei ya bidhaa yoyote ili apate faida?

Kupanda au kushuka kwa bei ya bidhaa kunasababu zake hakutokei tu.

Nje ya monopoly bei ya soko kupanda au kushuka hutegemeana na forces of demand and supply,kumekua na government intervention kwenye bei ya sukari tena nguvu ilitoka kwa raisi sio PM je bei ya sukari imeshuka?
Haya mambo yenu yakuleta siasa kwenye uchumi ndio yameleta hali ngumu za kiuchumi kwa raia,serikali imeua sekta binafsi kwasababu ya mawazo ya wachumi kama wewe halafu sasa hivi inahangaika kufufua sekta binafsi.
Ndio maana nakwambia sio lazima kuchangia wakati mwingine soma comment za wengine
 
Back
Top Bottom