Waziri Mkuu Majaliwa, ushauri wa bure: Usipingane na nguvu ya soko

Waziri Mkuu Majaliwa, ushauri wa bure: Usipingane na nguvu ya soko

Dangote needs to be fined kumbe yeye ndio tatizo, awakutoa taarifa mapema serikali ijipange.
Monopoly kwenye kiwanda Cha dangote ina mizizi ya serikali yenyewe alipewa upendeleo mkubwa sana kuliko wenzake na hii ndo sababu hadi leo anatamba

Moja ya sababu ya viwanda vingi kununua clinker dangote , ni kuwa inasemekeana ndio clinker nafuu kuliko zote , haijulikani kwa nn dangote anatengeneza clinker kwa unafuu Hadi wazo aone clinker yake mwenyewe ni ghali

Hata akitoa taatifa mwezi kabla serikali ingefanya Nini labda?
 
Haya ndio mambo binafsi naona serikali ifikirie kuanza kutoa unafuu ‘capital allowance’ kama wanataka bidhaa za ndani ziwe na ushindani na kupunguza cost za wafanya biashara.

Hizo kodi watakazopoteza kwenye machinery expenses zitakuwa recovered na PAYE au VAT more people will invest at least in medium size business zenye kuajiri watu 50 mpaka 300, more people will buy machinery za primary production, more business will invest in their own transportation.

Kwa mazingira ya sasa utitiri wa kodi, cost of capital, kukosa msaada wa serikali inakuwa ngumu sana kusindana na wazalishaji wa nchi nyingi huko tunapoagiza.
 
basi Kama wameona wamezidiwa na hawawezi kuacha kupeleka cement Rwanda.basi SERIKALI ITOE KIBALI IWAPE WAFANYABIASHARA WAAGIZE CEMENT YA NJE.tuwaache hao twiga waendelee na soko lao la Rwanda.alafu tuone Kama kuna mfanyabiashara atawafata twiga.serikali itoe vibali
Cement ya nje ilipigwa matufuku na serikali kwa sababu ilikuwa rahisi sana kuinunua labda ifanyie u turn.
 
Linganisha na facts zangu hapa, first hand kutoka mtaa ninaoishi:
Fact 1: Bei ya sementi mtaani kwangu ilipanda last week hadi TZS 17,000 kwa mfuko kutoka bei ya awali ya 15,000
Fact 2: Baada ya mkwala, maduka yaleyale yameshusha bei hadi TZS 15,500

Naomba maoni yako kwa facts hizo.
Last kick of a dyng horse ! In a nut shell unaweza kuona kuwa wafanyabiashara wameufyata kweli kwa kurudi kwenye Bei ya zamani 15000 ! Hali halisi ni kuwa wanaweza kuwa wanamalizia stock na wasiuze tena hiyo cement , scenario hii hii ndio imefanya sukari ipande Bei na haijashuka hadi leo

Excessive force kwenye biashara ambazo serikali haijatoa hata mitaji ndio njia sahihi za kuuwa biashara hizo.
 
Monopoly kwenye kiwanda Cha dangote ina mizizi ya serikali yenyewe alipewa upendeleo mkubwa sana kuliko wenzake na hii ndo sababu hadi leo anatamba

Moja ya sababu ya viwanda vingi kununua clinker dangote , ni kuwa inasemekeana ndio clinker nafuu kuliko zote , haijulikani kwa nn dangote anatengeneza clinker kwa unafuu Hadi wazo aone clinker yake mwenyewe ni ghali

Hata akitoa taatifa mwezi kabla serikali ingefanya Nini labda?
Tulishaliongea kuna sababu nyingi moja ni swala La Capital structure ratio ya kutumia retained earnings na mkopo. Mtu anayewekeza kwa ratio kubwa ya kutumia retained earnings ana afadhali kubwa ukilinganisha na mtu anaewekeza kwa ratio kubwa ya mikopo inayotolewa na bank za Tanzania ambazo riba zake zinafika mpaka 15% that cost will have to passed on the final product.

Pili uwezo wa mashine kuzalisha mashine za Dangote inawezekana can processes large capacities kuleta faida ya economies of scale; ndio maana serikali inabidi ifanye jitihada wazalishaji wa ndani wawe na uwezo wa kupata mashine za kisasa ili waweze shindana na kutengeneza ajira.

Kwenye swala kufunga kiwanda kutoa taarifa mapema kuna wapa watu nafasi ya kuja mitigation strategy mapema.
 
Yaani hao wenye viwanda mkiwachekea kidogo tu.cement itabaki kuwa adimu.
Kama wamezidiwa na mahitaji ni Bora serikali ikatoa vibali cement itoke nje.
Au wampe dangote UHURU auze nchi nzima,na wasimlazimishe kutumia makaa ya mawe ya Tanzania wakati Yana Bei KUSHINDA Yale ya sauzi.
Dangote ndo mkombozi wa kweli wa cement
Mkuu umesahau kuwa cement ya nje ilipandishwa kodi zaidi ilinkunusuru viwanda vya ndani , hajakatazwa mtu kuagiza Ila ni kuwa kwa kodi zinazoambatana na cement ya nje ni hasara kuileta
 
Yes.
Hapo ni kucheza na supply side, ili ku fill the gap of demand.
Bei ya cement itatelemka yenyewe.
For the record serikali walishaikataa hii cement, na nkumbuka iliongezewa kodi ili isinunulike. ilikuwa inafikirisha sana cement itengenezwe pakistan ipande meli Hadi dar ilipiwwe kodi zote stahiki na yet iuzwe 6600 kwa mfuko wa kg 50 wakati ya wazo hapo ilikuwa inauzwa 11000
 
Dangote ataendelea kupewa lawama Kila mwaka maana ,ni mmoja wa wqwekezaji aliyepewa misamaha mingi sana ya kodi , na ndio sababu viwanda Kama twiga kwa sasa wana wa outsource clinker kutoka kwa dangote maana ni rahisi hapo kuliko kwingine au hata kwake mwenyewe ,
 
Una uhakika na unayosema?? au unaleta maneno ya mitaani..
 
Si walete saruji feki kwenye mifuko kama walivyochapisha kura feki. Waendelee tu kudanganya watu
 
Dangote ataendelea kupewa lawama Kila mwaka maana ,ni mmoja wa wqwekezaji aliyepewa misamaha mingi sana ya kodi , na ndio sababu viwanda Kama twiga kwa sasa wana wa outsource clinker kutoka kwa dangote maana ni rahisi hapo kuliko kwingine au hata kwake mwenyewe ,
It shouldn’t be that way lakini uwekezaji nao una gharama zake inawezekana Twiga kwenye mahesabu yao wanaona it’s cheaper to outsource that aspect of production kuliko kuiweka internal.

Sisemi that is that is case rather factual investigation is required maana biashara nayo hesabu.
 
Unajua bado hatujasikia chochote kutoka kwa producers kuhusu production costs, kwahiyo assumption ni kuwa ipo constant

Wakisema labda kuna mabadiliko ya umbali wa kupata raw materials, Vifaa vya kuchimbia kukosekana au labour haipo hiyo ni case nyingine

All in all, supplying has declined, Dangote alikuwa anazalisha kwa wingi sana, sasa hayupo so inaathiri
I agree more information is needed kutoka kwa hao hakina Twiga.
 
Kijana biashara za hapa hazihitaji hizo nadharia zako..kwanza huna uhakika wa chanzo cha tatizo lililotokea, pili hata jibu huna unazunguka zunguka na nadharia pasipo kutoa suluhisho..
Hapa pia napata shule it’s part of my learning process worry not.
 
Ceteris Paribus, costs bado zile zile na wazalishaji waliobaki wanauza bei ile ile kwa suppliers.

Sasa kwanini wao wapandishe kutokana na shortage, simple it’s ‘profiteering’

Serikali makini aiwezi fumbia macho utaratibu huo wa soko.
Inanikumbusha mbali sana maskini.

Darasa moja linaweza kuwa na wanafunzi 70,na mwalimu wao ni mmoja,shule moja lakini wapo wanafunzi watakaopata mwaka 100% wengine 50% na wengine hata 0%.
Wewe ni kati ya wale waliopata 3% kwenye darasa lile lile moja...hongera sana mdogo wangu.
 
Hiyo post uliyo quote ilikuwa inamjibu mtu kwanini Dangote aliletewa fitna asiuze mfuko wa saruji sh 8000.

Mfano kama Dangote ana break even at sh 6000 kwa kila mfuko na tsh 2000 ndio faida yake.

Vipi washindani wake kama break even yao ni tsh 10000, ukimuacha Dangote auze kwa 8000 si unaua wengine na kutengeneza monopoly.

This is why I told uchumi sio kukariri ni kuelewa applicability zake.
Ni kweli kabisa, Dangote ametumia mbinu hii kuua viwanda vya cement Nigeria na nchi nyingine za W.A na kushika soko (monoply), hapa serikali ilifanya sawa kudhibiti bei. Ilikuwa ni suala la muda kabla dangote hajapandisha bei
 
Inanikumbusha mbali sana maskini.

Darasa moja linaweza kuwa na wanafunzi 70,na mwalimu wao ni mmoja,shule moja lakini wapo wanafunzi watakaopata mwaka 100% wengine 50% na wengine hata 0%.
Wewe ni kati ya wale waliopata 3% kwenye darasa lile lile moja...hongera sana mdogo wangu.
Lol, haya mkuu.
 
Una uhakika na unayosema?? au unaleta maneno ya mitaani..
Maneno ya mitaani pia ninayo maana naishi mitaani uswahilini
Maweni limestone na Dangote industries ndo wazalishaji pekee wa clinker za kuuza , jaribu kufanisha invoice zao uje ulete mrejesho .
 
Back
Top Bottom