Siikumbuki Kama kiwanda Cha twiga kiliwahi kutengeneza clinker , wazo toka Miaka hiyo lilikuwa ninpori lililokaribiwa na makazi , nadhani ndio sababu waliamua tu kuagiza kuliko ku expand na kutengeneza wenyewe.It shouldn’t be that way lakini uwekezaji nao una gharama zake inawezekana Twiga kwenye mahesabu yao wanaona it’s cheaper to outsource that aspect of production kuliko kuiweka internal.
Sisemi that is that is case rather factual investigation is required maana biashara nayo hesabu.
It makes senseSiikumbuki Kama kiwanda Cha twiga kiliwahi kutengeneza clinker , wazo toka Miaka hiyo lilikuwa ninpori lililokaribiwa na makazi , nadhani ndio sababu waliamua tu kuagiza kuliko ku expand na kutengeneza wenyewe.
Twiga, mbeya, simba, nk kabla ya kuja dangote walikuwa wnapata wapi clinker..ambayo haikufanya badiliko la bei ya saruji kupanda kwa kiwango ilivyotokea sasa..kwa nini hali hii sasa pamoja na uwepo wa clinker ya dangote kwa gharama nafuu?Maneno ya mitaani pia ninayo maana naishi mitaani uswahilini
Maweni limestone na Dangote industries ndo wazalishaji pekee wa clinker za kuuza , jaribu kufanisha invoice zao uje ulete mrejesho .
Mtu wa lumumba unaangaika nae wa nini.Mkuu naona somo la Economics kwako ni wimbo wa kichina.
Restrict supply for a commodity in demand, price goes up.
Increase supply for a commodity in demand, price goes down.
Production costs bado ni constant.
Nilikuwa najiuliza pia kwani Dangote ndio mzalishaji pekee? Wale wengine wamekumbwa na nini na wao?Sio kweli kiwanda Cha cement sio dangote peke yake
walipotaka kumfungia kiwanda chake wangemlaumu Nani?.
twiga cement anapeleka cement Rwanda wakati sisi wenyewe hatuna cement Nani aliyewakemea?
Mbona Dangote umewaweka kama wana obligation ya kuhakikisha cement haikauki nchini, ni issue ya kimkataba au nini?Rwanda pia soko issue hapa ni supply ya ndani watu awawezi vunja makubaliano na wafanyabiashara wa nje kisa kuna kiwanda kimoja kimeacha uzalishaji that is not good business practice.
Dangote wao wenyewe wanajua wamekosea walitakuwa kuitaarifu serikali in advance ijipange.
Good questionTwiga, mbeya, simba, nk kabla ya kuja dangote walikuwa wnapata wapi clinker..ambayo haikufanya badiliko la bei ya saruji kupanda kwa kiwango ilivyotokea sasa..kwa nini hali hii sasa pamoja na uwepo wa clinker ya dangote kwa gharama nafuu?
Dangote kwa sasa ndiye virtually mzalishaji wa uhakika wa clinker Bei chee, ni kutokana na priorities alizopewa .Nilikuwa najiuliza pia kwani Dangote ndio mzalishaji pekee? Wale wengine wamekumbwa na nini na wao?
Ha ha ha!Kijana biashara za hapa hazihitaji hizo nadharia zako..kwanza huna uhakika wa chanzo cha tatizo lililotokea, pili hata jibu huna unazunguka zunguka na nadharia pasipo kutoa suluhisho..
Wanaweza kufanya hiyo 'profiteering ' kwa sababu hamna simenti ya kutosha kwenye soko. Hii inatokana na uzalishaji kupungua sana. Bei lazima ipande.Ceteris Paribus, costs bado zile zile na wazalishaji waliobaki wanauza bei ile ile kwa suppliers.
Sasa kwanini wao wapandishe kutokana na shortage, simple it’s ‘profiteering’
Serikali makini aiwezi fumbia macho utaratibu huo wa soko.
Amandla..Wanaweza kufanya hiyo 'profiteering ' kwa sababu hamna simenti ya kutosha kwenye soko. Hii inatokana na uzalishaji kupungua sana. Bei lazima ipande.
Amandla...
Cement ya nje ilipigwa matufuku na serikali kwa sababu ilikuwa rahisi sana kuinunua labda ifanyie u turn.
Mkuu umesahau kuwa cement ya nje ilipandishwa kodi zaidi ilinkunusuru viwanda vya ndani , hajakatazwa mtu kuagiza Ila ni kuwa kwa kodi zinazoambatana na cement ya nje ni hasara kuileta
Nilikuwa najiuliza pia kwani Dangote ndio mzalishaji pekee? Wale wengine wamekumbwa na nini na wao?
Mhh, mbona umejibu kisiasa sana badala ya kiuchumiHuyo mzee hawamtaki tu.
Ndo punching bag lao.
Sababu kuu hicho kiwanda KILIJENGWA ENZI YA KIKWETE HILO NDO KOSA LAO.
Cement ilikuwa elfu 8 Bei ya rejareja..
Kiongozi wa wanyonge akaona hyo Bei Ni ndogo sana kwa wanyonge wake wakaamua kupandisha.nina mwezi na wiki 2 sijashika cement