Waziri Mkuu Majaliwa, ushauri wa bure: Usipingane na nguvu ya soko

Waziri Mkuu Majaliwa, ushauri wa bure: Usipingane na nguvu ya soko

Nimekushauri, ushauri mdogo tu, fuata principles za Economics. Flood the market to quell the high demand.
Waagize cement, price will adjust itself.
That is the solution but it doesn’t mean whilst they are doing that traders should be allowed to exploit the situation.

Ukiniuliza mimi msingi wa tatizo la saruji ni uzembe ule ule tunao uona kwenye mafuta mara kwa mara, sukari kipindi cha Ramadhan na kwengineo; the main issue being ‘inventory control’ either serikali kutokuchukua hatua haraka kipindi ambacho kuna seansonal variation, kutochukua hatua haraka kampuni inapoacha kuzalisha mpaka waishiwe stock kabisa shida ianze, etc to do with incompetence huko wizara ya biashara na EWURA kwenye majukumu yao ya kuhakikisha supply ya uhakika.
 
Ndiyo maana amewaaagiza wakuu wa mikoa walifanyie kazi wampelekee report kamili ya nini kimejiri. Nadhani Waziri Mkuu ameweka hypothesis inayohitaji majibu so tusubiri findings.
 
That is the solution but it doesn’t mean whilst they are doing that traders should be allowed to exploit the situation.

Ukiniuliza mimi msingi wa tatizo la saruji ni uzembe ule ule tunao uona kwenye mafuta mara kwa mara, sukari kipindi cha Ramadhan na kwengineo; the main issue being inventory control either serikali kutokuchukua hatua haraka kipindi ambacho kuna seansonal variation, kutochukua hatua haraka kampuni inapoacha kuzalisha mpaka waishiwe stock kabisa shida ianze, etc to do with incompetence huko wizara ya biashara na EWURA.
Nakubaliana na wewe kuwa donda ndugu liko wizarani, toka tupate uhuru hatujawahi kuwa na KM wazuri kabisa kuweza kufanya mikakati ya kuendesha wizara kibiashara, badala yake ni kisiasa na longolongo nyiiiiiiingi.

Tunaona wizara ya kilimo katibu mkuu wa sasa yuko live in the field anafuatilia mbegu, pembejeo n.k. Viwanda na biashara always iko kimya linapokuja swala la supply crisis, huwa wanajifunya hawahusiki kabisa, very sad.
 
Ceteris Paribus, costs bado zile zile na wazalishaji waliobaki wanauza bei ile ile kwa suppliers.

Sasa kwanini wao wapandishe kutokana na shortage, simple it’s ‘profiteering’

Serikali makini aiwezi fumbia macho utaratibu huo wa soko.
Hakuna any new projects ambazo zimefanya demand iende juu tofauti na miaka 2 au 3 nyuma. So if the demand is on average the same this implies that the supply has been reduced. So the problem here is what has triggered the reduction in supply?
 
Sekta binafsi ndio corner stone ya uchumi, hakuna mchawi hapa, Kodi ni nyingi, Kodi ni kubwa na regulations ni nyingi hivyo watu wanahangaika na ku complay nazo kukwepa fine( hawawekeze akili zao kwenye kutafuta biashara ), Corona imeleta tatizo kubwa, kunatakiwa hatu kubwa kuchukuliwa, uchumi wa dunia umeunganika, ila Africa mkopo imekua na riba kubwa kushinda China, Europe na USA hivyo mfanya biashara wa TZ anashindwa kushindana na wa nchi nyingine.
This partly explains causes of reduction in supply.
 
Hakuna any new projects ambazo zimefanya demand iuende juu tofauti na miaka 2 au 3 nyuma. So if the demand is on average the same this implies that the supply has been reduced. So the problem here is what has triggered the reduction in supply?
Some say Dangote has halted production. Ndio kilichosababisha shortage.
 
Hao bila kuwatingisha watalala.
Wapewe wiki 1 maduka yote ya hardware yawe na cement.
 
Wamfungulie dangote waone balaa lake
Ceteris Paribus, costs bado zile zile na wazalishaji waliobaki wanauza bei ile ile kwa suppliers.

Sasa kwanini wao wapandishe kutokana na shortage, simple it’s ‘profiteering’

Serikali makini aiwezi fumbia macho utaratibu huo wa soko.
 



Dangote needs to be fined kumbe yeye ndio tatizo, hawakutoa taarifa mapema serikali ijipange.
 
Sio kweli kiwanda Cha cement sio dangote peke yake
walipotaka kumfungia kiwanda chake wangemlaumu Nani?

twiga cement anapeleka cement Rwanda wakati sisi wenyewe hatuna cement Nani aliyewakemea?



Dangote needs to be fined kumbe yeye ndio tatizo, awakutoa taarifa mapema serikali ijipange.
 
Sisi watanzania tuna matatizo ya kufikiri na kutaka kupata majibu mepesi haraka.

Maswali:
1. Hivi nchi hii rasilimali ya kutengeneza vifaa vya ujenzi ni ile inatokana na saruji tu??
2. Baada ya kuwa na miradi mikubwa km SGR, JNHHP, Barabara, Mji mkuu Dodoma nk inayotumia saruji kwa wingi unadhani mahitaji ya saruji ni yale yale km kabla ya miradi hii kuanza?

jibu:
1. Tafuta mbadala wa saruji!
2. Tabia ya kuingilia bei kwenye soko ina madhara makubwa, hakuna mwekezaji atapenda kuja Tanzania kwa mwenendo huu wa kutisha wenye viwanda na wafanya biashara..mbona wakulima serikali inawaambia wauze mazao yao kwa bei wanayotaka??? serikali itafute majibu ya kudumu iachane na kutafuta majibu mepesi...
 
Sio kweli kiwanda Cha cement sio dangote peke yake
walipotaka kumfungia kiwanda chake wangemlaumu Nani?.
twiga cement anapeleka cement Rwanda wakati sisi wenyewe hatuna cement Nani aliyewakemea?
Rwanda pia soko issue hapa ni supply ya ndani watu hawawezi vunja makubaliano na wafanyabiashara wa nje kisa kuna kiwanda kimoja kimeacha uzalishaji that is not good business practice.

Dangote wao wenyewe wanajua wamekosea walitakuwa kuitaarifu serikali in advance ijipange.
 
basi Kama wameona wamezidiwa na hawawezi kuacha kupeleka cement Rwanda, basi SERIKALI ITOE KIBALI IWAPE WAFANYABIASHARA WAAGIZE CEMENT YA NJE. Tuwaache hao twiga waendelee na soko lao la Rwanda. Halafu tuone Kama kuna mfanyabiashara atawafata twiga. Serikali itoe vibali
Rwanda pia soko issue hapa ni supply ya ndani watu awawezi vunja makubaliano na wafanyabiashara wa nje kisa kuna kiwanda kimoja kimeacha uzalishaji that is not good business practice.

Dangote wao wenyewe wanajua wamekosea walitakuwa kuitaarifu serikali in advance ijipange.
 
Kuhusu lawama kuwapa dangote nakataa.
Tangu mwanzo serikali haikuonesha kuikubali dangote.leo kwenye matatizo ndo wanamuona dangote ana UMUHIMU?
MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI.
Kuna viwanda vingapi hapa dar na pwani vya cement kwanini lawama anapewa dangote?hao twiga Mara ngapi wanazima mitambo wanasema wanafanya marekebisho Nani kawalaumu?
Rwanda pia soko issue hapa ni supply ya ndani watu awawezi vunja makubaliano na wafanyabiashara wa nje kisa kuna kiwanda kimoja kimeacha uzalishaji that is not good business practice.

Dangote wao wenyewe wanajua wamekosea walitakuwa kuitaarifu serikali in advance ijipange.
 
Uchumi unaendeshwa kwa amri kutoka juu.

Dangote kalalamika kwamba, kabla kiwanda hakijaanza uzalishahi, serikali 8nataka kupora asilimia 16 ya kiwanda.
 
basi Kama wameona wamezidiwa na hawawezi kuacha kupeleka cement Rwanda.basi SERIKALI ITOE KIBALI IWAPE WAFANYABIASHARA WAAGIZE CEMENT YA NJE.tuwaache hao twiga waendelee na soko lao la Rwanda.alafu tuone Kama kuna mfanyabiashara atawafata twiga.serikali itoe vibali
Soma post yangu number #21 na Lu-ma-ga #22 ndio tulichokuwa tunaongelea hiko wizara ya biashara inatakiwa kuwa na taarifa mapema kampuni itakapo simamisha uzalishaji, wajue ‘lead time’ ya huko wanapo order mpaka kufika ili supply isiathirike.

Ni swala la usimamizi, in this instance Dangote wamekiri ni makosa yao awakutoa taarifa serikalini kama walikuwa na planned schedule maintance.
 
Back
Top Bottom