Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,808
Ipo namna moja tu ya kucheza na nguvu ya soko.... Inawezekana kabisa kucheza na market forces za demand and supply bila ku flood ze market!
Waambie serikali waweke kiwanda chao, wanachoweza kukiamrisha kiwe kinawapa taarifa hata wnapotaka kubadilisha shift za uzalishaji..Dangote ni kampuni binafsi wanapanga uzalishaji wanavyotaka wao ili waweze kulipa kodi na mishahara..si lazima wamjulishe yeyote..halafu biashara ni ushindani wakiwa wnakujulisha wewe ratiba zao halafu unauza taarifa hizo kwa washindani wao, siku wakishindwa kushindana utawapunguzia kodi?Rwanda pia soko issue hapa ni supply ya ndani watu awawezi vunja makubaliano na wafanyabiashara wa nje kisa kuna kiwanda kimoja kimeacha uzalishaji that is not good business practice.
Dangote wao wenyewe wanajua wamekosea walitakuwa kuitaarifu serikali in advance ijipange.
Mambo mengine jijibu mwenyewe kwa common sense tu.Wewe umetumia ushahidi gani kuthibitisha kuwa hakuna hujuma ya kupunguza supply ili watu wapate faida? Nini kinachofanya production iwe down? Hawana pesa za kununulia malighafi?
Issue ni supply to meet demand. Dangote ameshajiingiza kwenye mfumo wa uzalishaji akitaka kufungusha sawa tu.Kuhusu lawama kuwapa dangote nakataa.
Tangu mwanzo serikali haikuonesha kuikubali dangote.leo kwenye matatizo ndo wanamuona dangote ana UMUHIMU?
MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI.
Kuna viwanda vingapi hapa dar na pwani vya cement kwanini lawama anapewa dangote?hao twiga Mara ngapi wanazima mitambo wanasema wanafanya marekebisho Nani kawalaumu?
Fikra kama hizo ni za kipuuzi.Acha upuuzi,jibu maswali,je kama kuna watu wanafanya subbotage kuharibu soko ili wapate faida, serikali ikae kimya?
Muhimu hapo kwenye taarifa ni serikali kupata muda wa kujipanga baada ya hapo Dangote ata akisema afunge moja kwa moja not ideal but walau serikali itakuwa inaelewa inawajibu wa kuagiza tonne kadhaa za shortage mpaka uzalishaji wa ndani utakapofidia hizo shortages.Waambie serikali waweke kiwanda chao, wanachoweza kukiamrisha kiwe kinawapa taarifa hata wnapotaka kubadilisha shift za uzalishaji..Dangote ni kampuni binafsi wanapanga uzalishaji wanavyotaka wao ili waweze kulipa kodi na mishahara..si lazima wamjulishe yeyote..halafu biashara ni ushindani wakiwa wnakujulisha wewe ratiba zao halafu unauza taarifa hizo kwa washindani wao, siku wakishindwa kushindana utawapunguzia kodi?
Linganisha na mfano wangu wa yule mzee Ngwilulupi wa Sigara.Linganisha na facts zangu hapa, first hand kutoka mtaa ninaoishi:
Fact 1: Bei ya sementi mtaani kwangu ilipanda last week hadi TZS 17,000 kwa mfuko kutoka bei ya awali ya 15,000
Fact 2: Baada ya mkwala, maduka yaleyale yameshusha bei hadi TZS 15,500
Naomba maoni yako kwa facts hizo.
Soma post yangu number #21 na Lu-ma-ga #22 ndio tulichokuwa tunaongelea hiko wizara ya biashara inatakiwa kuwa na taarifa mapema kampuni itakapo simamisha uzalishaji, wajue ‘lead time’ ya huko wanapo order mpaka kufika ili supply isiathirike.
Ni swala la usimamizi, in this instance Dangote wamekiri ni makosa yao awakutoa taarifa serikalini kama walikuwa na planned schedule maintance.
Issue ni supply to meet demand. Dangote ameshajiingiza kwenye mfumo wa uzalishaji akitaka kufungusha sawa tu.
Provided bado anazalisha na msambazaji mkubwa wa ndani serikali will assume biashara ya Dangote ni ‘going concern’ kwenye mipango yao ya inventory control.
If anything else anatakiwa awape serikali notice mapema na serikali nayo inatakiwa ijiridhishe at anytime stock ya ndani inaweza kaa kwa muda miezi mitatu ikitokea uhaba inawapa muda wa kuagiza bila ya kuathiri upatakinaji wa saruji.
Sukari walitoa amri bei iwe 1,800/ utafikili wanatengeneza wao.Naamini watakaa wakipata nafasi na watatafuta namna nzuri ya kulitatua hili ikiwa niboamoja na wamiliki wa viwanda /wazalishaji wa cement
Sukari walitoa amri bei iwe 1,800/ utafikili wanatengeneza wao.Naamini watakaa wakipata nafasi na watatafuta namna nzuri ya kulitatua hili ikiwa niboamoja na wamiliki wa viwanda /wazalishaji wa cement
Wewe kama siyo mchumi tulizana. Hakuna principle inayoruhusu bei kupanda kama supply ni normal au kubwa. Kilichopo kwa sasa demand ni kubwa kuliko supply.Hakuna cha nguvu ya soko wala nini kinachoendelea kwa sasa ni profiteering.
Tatizo ni ngumu sana kufanya mijadala ya uchumi wa Tanzania with evidence kwa sababu ya uhaba wa market data.Dangote hapa mnampa lawama za bure.na sio Kama cment viwanda vingine hamna Baki Wana Pima upepo..
Kama nyati nampigia simu wakala anasema madereva walikuwa na mgomo ndo maana cement yao haipatikani.yaani kila mtu anafanya anavyotaka.
Cement ipo.ila wanafanya MAKUSUDI