Waziri Mkuu Majaliwa, ushauri wa bure: Usipingane na nguvu ya soko

Waziri Mkuu Majaliwa, ushauri wa bure: Usipingane na nguvu ya soko

Brother sijajua intention yako ni nini. Lakini tuassume wafanya biashara wameficha cement ili wapate faida zaidi utafanyaje? Maana mimi na wewe tunajua mfanyabiashara hawezi kuacha fursa ya faida kubwa pale anapopredict future shortage of supply au akaona fursa ya kucreate shortage akaiacha. Lakini unaweza kutibu tatizo hilo bila hata kumuuliza au kuquarrel nae kwa kuhakikisha unaongeza supply kwenye market. Yeye anaficha wewe unaongeza ikimzidi atatoa kwa bei ya kutupa,ndio maana ya kuflood market.
Sawa kabisa mkuu!
 
Nyumba endelea kutulia kwenye lenta hapo, hadi bei izoeleke kwanza tutaendelea!
 
Ni ujinga wa serikali yenu ya hovyo, unazuia uingizwaji wa simenti kutoka nchi za nje ili kulinda viwanda vya ndani.... wakati huo viwanda visitambue ulinzi uliowapa!
 
Hakuna cha nguvu ya soko wala nini kinachoendelea kwa sasa ni profiteering.
Kwa nini hii unayoita profiteering itokee sasa? Kwani siku za nyuma wafanyabiasjara walikuwa hawataki faida kubwa?!
 
Miaka 60 baada ya uhuru na tuna wachumi wabobezi , hata wenye PhD mawizarani.
Hii argument yako does not hold!
Ni aspects za anti monopoly practices, usikariri theory za uchumi inabidi adaptable to changing environment when it comes ‘market failure’ intervention approaches.
 
Kwa nini hii unayoita profiteering itokee sasa? Kwani siku za nyuma wafanyabiasjara walikuwa hawataki faida kubwa?!
Profiteering derive as a result of opportunity kama ilivyotokea unexpected fall in supply kwa kuwa demand ni kubwa watu wanaona wapandishe bei.
 
Ni aspects za anti monopoly practices, usikariri theory za uchumi inabidi adaptable to changing environment when it comes ‘market failure’ intervention approaches.
Mkuu Market monopoly is a different animal altogether!
 
Wasiturudishe kwenye maswala ya -Korosho- ambapo miltary forces ilitumika kuadress market forces. Nadhani wanakumbuka vizuri matokeo yake
 
Mkuu Market monopoly is a different animal altogether!
Hiyo post uliyo quote ilikuwa inamjibu mtu kwanini Dangote aliletewa fitna asiuze mfuko wa saruji sh 8000.

Mfano kama Dangote ana break even at sh 6000 kwa kila mfuko na tsh 2000 ndio faida yake.

Vipi washindani wake kama break even yao ni tsh 10000, ukimuacha Dangote auze kwa 8000 si unaua wengine na kutengeneza monopoly.

This is why I told uchumi sio kukariri ni kuelewa applicability zake.
 
Ni aspects za anti monopoly practices, usikariri theory za uchumi inabidi adaptable to changing environment when it comes ‘market failure’ intervention approaches.
Fungua hata genge la mboga mboga eneo unaloishi itakusaidia kukupa maarifa kuona kama hizo natharia ulizokariri zinaapply kwenye uhalisia hapa bongo..
 
Hakuna cha nguvu ya soko wala nini kinachoendelea kwa sasa ni profiteering.
Walau muwe na data kabla ya kupinga kitu! Dangote alifunga kiwanda kwa matengenezo, FYI dangote mbali na kuuza cement ni mzalishaji wa clinker ambayo ndiyo malighafi tegemezi kwa cement , dangote anauza clinker kwa twiga cement ,lucy cement kisarawe ,lake cement kimbiji mbeya cement, n.k thus kitendo Cha dangote kufunga kiwanda kilifanya hata viwanda vingine bi operate below capacity

Lakini wakati cement imepungua bado Kuna projects za serikali zipo na constant demand ya cement hiyo, na kwa kuwa serikali ndie mteja mkuu anapewa kipaumbele , na uhaba sasa unahamia kwa wateja wadogo.

Ni swala la demand na supply labda serikali Kama itaamua kusimamisha project fulani ili kutoa room ya supply chain
 
Huwezi tegemea supply and demand forces kufix price peke yake kama market is not perfect. In most cases the market is regulated if the objective is to benefit the people not traders alone. Kwa hivyo kassim majaliwa na serikali wako sahihi kabisa kuingilia kuhusu bei ya cement.
Kuna namna ya serikali kuliingilia hili swala , but inahitaji ku pin point tatizo hasa la sivyo yatatoke ya sukari tena!

Viwanda vya cement by vinaoperate kwenye mazingira ya kubanwa sana na faini zisizo isha , mfano watu wa mazingira wanataka viwanda hivi viwe mbali na makazi ya watu , lakini watu nao wanavisogelea viwanda hivi kwa kujenga nyumba zao Kila Siku ,
Viwanda hivi Kama kawaida vimekuwa subjected kwenye makodi ya kutosha , kodi ambazo zinafanya vi operate katika very low profit margin , na ndio maana Rhino cement alifunga kiwanda chale hapo mkuranga na Hadi leo hajafungua
Serikali ijiangalie inakosea wapi or else Bei itazidi kupanda
 
Ungepitia thread yote kuna mpaka video ya Dangote kuomba msamaha kwa kufunga kiwanda bila ya kutoa taarifa, tushazungumza issue za supply commitment zingine wazalishaji walizonazo na madhara ya wizara kutokuwa makini na inventory management.

Pitia thread uone ilivyo evolve kwanza ujue imefikia wapi. Well good to know kwamba Dangote pia anauza na resources zingine kwa wazalishaji more of the reason ya kutandikwa fine kufunga uzalishaji bila ya kutoa taarifa.
 
Fungua hata genge la mboga mboga eneo unaloishi itakusaidia kukupa maarifa kuona kama hizo natharia ulizokariri zinaapply kwenye uhalisia hapa bongo..
Zina apply sana ila baada ya kupitia YouTube channel ya TRA na kusoma malalamiko ya kodi accounting firm italipa zaidi.
 
Mkuu kuna wakati tuliwahi kuwa na cement ya pakistan, ilikuwa ikiuzwa kwa sh 6600 kwenye hardware za dar ikiwa imelipiwa kodi stahiki zote zingine zikiwa double tax , wakati huo cement ya twiga hapo wazo ilikuwa inauzwa sh 11000. Njia pekee ilyochukuliww na serikali kuiongeza kodi cement hiyo na vizingiti tele ili isiingizwe tena nchini na kweli walifanikiwa,

Kwa wakati ule wenye viwanda walisema kabisa kuwa msururu wa kodi ndio unafanya Bei ya cement zao ziwe juu, mfano mawe ya gypsum yapo makanya same, Ila twiga walikuwa wanaagiza meli za clinker nje kuliko kutengeneza wao sababu ya gharama
 
Kama hivyo ni kweli kuwa Demand ni kubwa kuliko Supply, then hawa wachumi wetu wakina Mpango wanaishauri nini serikali yetu? Kama watakumbuka masomo yao ya uchumi ,ili kupata equlilibrium ni lazima serikali iangalie upande wa supply [ uzalishaji] ili kutatua hili tatizo. Tafuteni sababu zinazofanya viwanda visizalishe cemet ya kutosha badala ya kutumia nguvu kuwadhalilisha wafanya biashara!!
 
Back
Top Bottom