mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Ok basi acha twiga waendelee kutunyoosha.binafsi yangu Mimi siathiriki chochote na cement maana ni mfanya biashara.kiwanda kikipandisha na Mimi napandisha kazi kwao wale wanaoitwa wanyonge
Kulinda viwanda vingine na ajira; kama Dangote mtaji wake ni retained earnings za biashara yake, umeme anazalisha mwenye, distribution anafanya mwenyewe.
Mtu ambae kakopa bank deni lenye interest za 15%, traders inabidi wamfuate, umeme ananunua, malighafi kufikishiwa inabidi atumie haulage companies zingine.
Hao watu wawili uwezi walinganisha kwenye production costs, Dangote will be cheaper and it is not a good way to nurture an industry growth kama anaweza kuuwa biashara zingine.