Waziri Mkuu Majaliwa, Vijijini hatuhitaji taa za barabarani, hii ni kejeli

Mjini kuna vibaka, vijijini hamna.
Mjini usiku kucha watu wanatembea au ulala night kali vijijini saa moja jioni watu wapo vitandani.
Taa si kwa ajili ya vibaka. Taa ziendane na electrification of villages.
 
Mleta mada ni moja ya kundi la wajiitao "akili kubwa". Ni prominate strategist wa chama fulani. Baada ya kumjadili mtu, sasa najadili hoja.

Naunga mkono hoja ya Kikwajuni One.
 
Ni vizuri ukajielimisha kwanza juu ya historia na maana ya ustaarabu na maendeleo jumuishi. Kwani kuweke taa za barabari ni kizuizi au ni kichocheo cha shughuli nyingine za maendeleo vijijini ?
Mtanzania na akili yake. Siku zote analalamika bila hata ya kujiuliza kwa undani faida za umeme.
 
Kuweka taa pembeni ya barabarani mpaka vijijini, si jambo baya. Niliona kule West Afrika, barabara za lami zote zinatembea na electric cable, wakifika tu kwenye makazi ya watu, wanaweka barabara toka mwanzo mpaka mwisho wa kijiji. Na hiyo inawapa wanavijiji fursa ya kufanya biashara zao kwa wasafiri mpaka usiku.
 
Wanaanza na kwenye upigaji
 
Kwahiyo Wa Mjini Wanawekewa mataa Wao Madawa Hawayapati!?? WM Amekosea Nini Hapo!??
 
Umeme uletwe vijijini bwashee.
 
Taa zikiwepo vibaka watapungua
Huo umeme wenyewe hautoshi, kutwa unakatika katika na isitoshe watu mengi wapo kwenye foleni ya kupatiwa umeme maana vifaa vya umeme kama nguzo, nyaya, mita n.k havipo vya kutosha. Kwa sasa vipaumbele vya vijijini ni miradi ya umwagiliaji maana hali ya misimu ya mvua imebadilika sana, mkulima amechanganywa na hizi mvua zinazo nyesha bila mpangilio, na hii ni kwa sababu ya mabadiliko ya hali ya hewa. Kuna vijiji vingi vina vyazo vya maji lakini vinashindwa kuyatumia maji hayo ipasavyo kwa kukosa miundombinu bora ya umwagiliaji, hasa mikoa ya Morogoro (karibia wilaya zote) na Tanga wilaya za Lushoto, Korogwe na Muheza. Dar kuna taa zakutosha lakini vibaka wamejazana, sema ulozi utapungua.
 
SERIKALI YA KIJIJI ITAGHARAMIA HUDUMA🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Jinga Sana,kwa hiyo kijijini hakutakiwi kuwa na street lights? Ulivyokuwepo mshamba inaonesha hata hujawahi ona popote ndio maana unashangaa..

Vijiji vingi sana vya mkoa wa Rukwa vita taa za solar miaka mingi Sana na ndiko PM kajifunza.

What is a village?? and what is a town??--- express it in terms of Tz definition.
 
Kupanga ni kuchagua
Kama tunaona kipao mbele ni kuwamulikia wanakijiji ili waweze kukatiza mapori KM 10 wakiyasaka maji tena machafu ni poa.
Africans are disgrace to mankind
 
Ni kosa, kijiji giza ni halali yake.
Mkuu upo sahihi maana sifa moja kuu ya kuitwa kujiji ni kutokuwa na taa ya umeme wa TANESCO barabarani maana ikipata hizo taa nadhani kitaitwa mji mdogo.
 
Taa za barabarani nyingi zinatumia solar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…