Waziri Mkuu Majaliwa, Wahudumu wa Ndege ya Precision Air wanasema Wao ndiyo Walifungua Mlango. Huyu Muokoaji ‘Majaliwa’ aliufungua upi?

Ila watanzania aloturoga kafa walah! Sijui kwanini huwa tunapenda sana kuamini vitu rahisi rahisi bila hata kureason. Na ikitokea mtu akareason anaonekana ana wivu, mchawi nk. Ndio maana tuna utitiri wa madhehebu na yanaendelea kuibuka na hayakosi waumini.
 
Sugu kaniudhi kweli, yaan hawazi yule kijana mpaka alizirai na kidogo apoteze maisha,
Kuna uwezekano pia kuwa majaliwa hakuzirai hivi hivi; inaonekana kama kulikuwa na watu wengine kwenye eneo la ajali ambao shida yao ilikuwa ni kinyume na kuokoa abiria na hao ndiyo wanaweza kuwa walipelekea Majaliwa azirai. Hofu yao ilikuwa ni kama Majaliwa angefanikiwa kuwaokoa marubani pia kwa sababu inaonekana marubani ndiyo ilikuwa ni target ya kwanza; kwamba walitakiwa wasiwe hai! Wangeokolewa marubani; siri ingevuja kirahisi!
 
Tunakushukuru Kijana Majaaliwa kwa juhudi zako za kuokoa abiria.
Kuwa tu na nia na kuthubutu kwenda majini kufanya uokozi bila ujuzi rasmi ni Jambo Jema Sana.

Wewe ni Mtanzania na Una haki ya kuajiriwa na serikali yako.

Ifike mahali tuheshimu Mamlaka.
 
Kinachotafutwa kwa sasa hapa ni kuonyesha kuwa Majaliwa hakuokoa abiria kwa sababu tayari alishatoboa siri kuwa kuna watu walimzuia kutoboa kioo alipokuwa anataka kuwaokoa marubani ilhali marubani wenyewe walikuwa wanampa ishara ya kutobaa kioo ili awaokoe. Kwa hiyo kwa sasa zinatafutwa mbinu zote ili ionekane kuwa majaliwa ni mwongo. Uzuri ni kwamba Majaliwa alienda Dodoma na NCHI YOTE aliikuta ikiwa bado iko. Kwa hiyo halipo jambo lolote litakalofanikiwa kwenda na Majaliwa
ngaiwoye
 
Ametukana yeye kwanza. Nika mjibu utumbo wake.

Ila wewe moderators wana kulea sanaaaaa. Hizo account zako kama 3 hivi wange zipiga ban ya miaka 2. Akili itakaa sawa tu
Na wewe kumbe wa hovyo sana , sasa unapinga nini anachokifanya GENTA kama na wewe unajibu utumbo na matusi kutoka kwa watu ?
 
Nasimama na majaliwa.

Tutumie reason / logic kidogo.
Wanaosema wamejiokoa wenyewe (wahudumu) na kuokoa wengine. Hawayajui maji vizuri, kuna ile hali ya presha ya kifo kila mtu anataka kuokoa nafsi yake, kwa nini kama wao ni waokozi mahiri wasingeokoa marubani? Ambao ni rasilimali muhimu wakaokoa raia wengine?

Basi sawa walijiokoa.
Je wangetoka nje ya ndege mitumbwi isingekuwepo kuokoka kwao ndani ingekuwa nini?

Majaliwa ni shujaa + Mungu ambariki siku zote kwa ajili ya roho alizomsaidia kuziokoa + tusimame na majaliwa
 
Labda wangetembea juu ya maji kama Petro
 
Mungu anatoa riziki kwa kuua wengine 19? Unajua mafhara ya hao 19 kufariki? Mungu hajui kazi
Wewe nawe usjifanye una uchungu sana kila siku watu wanakufa barabarani au sio watu hao? walipanda ndege ndio watu mbona mnajitoa ufahamu. Barabara kila dakika zinauwa watu wewe umeshupalia 19
 
Na wewe kumbe wa hovyo sana , sasa unapinga nini anachokifanya GENTA kama na wewe unajibu utumbo na matusi kutoka kwa watu ?
Una muogopa GENTA mm ndie mwenye ubavu wa kumvaa tu. Tulia niachie mm nimrekebishe GENTA, coz ww una muogopa.
 
Wanadamu bhana daah! Uliona alicho kiandika huyo mdau? By the way, mm sihitaji Kick ya mtu, ila huyu GENTA leo kaipata shule hapa. Tena huyu GENTA moods ndio wana mdekeza miaka yote wakati umri wake ni mkubwa.
 
Kwani bado tuu..kama hela kashapewa kazi anayo na hamuwezi kuvirudisha. Endeleeni namaisha yenyu
Imeisha hiyoo
 
hao wahudumu bila majaliwa wasingetoboa kutoka nje ya ndege sio kuokolewa waache ujinga wanatafuta kiki badala ya kushukuru Mungu kwa kuendelea kuwa hai, wao walikua wana ajira na ajira zao hazijakoma wivu wa nini kwa muuza dagaa mwaloni?
 
utakunywa sumu bure ufe huku unaona,kuipora riziki ya mtu ni vifugu
 
Ww unae sema ali sema yeye ndie alie fungua mlango. Mtaje jina na weka picha. Ali hojiwa na media gani? Weka video. Coz majina ya Marehemu na majeruhi wa ajali yote yapo hapa ktk uzi mmoja hapa JF na huyo mhudumu hajawahi jitokeza.
Acha ujuaji mkuu, hakuna muhudumu wa ndege aliyepoteza maisha. Hawawezi kujitokeza kuongea, kwani wao si wasemaji wa precision air.
 
Acha ujuaji mkuu, hakuna muhudumu wa ndege aliyepoteza maisha. Hawawezi kujitokeza kuongea, kwani wao si wasemaji wa precision air.
Tupe ww ukweli ulie kuwepo eneo la tukio
 
🙄najiuliza wangesema zime potea GOLD KGS 500 Kwenye ndege iliyo pata ajari hukoo bukoba wangeonekana Hawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…