Waziri Mkuu Majaliwa, Wahudumu wa Ndege ya Precision Air wanasema Wao ndiyo Walifungua Mlango. Huyu Muokoaji ‘Majaliwa’ aliufungua upi?

Si nimeona una post picha za stupidity mara Idiot? Au hujui ni matusi?

Ebu lala. Huna hoja. Hoja zangu leo ni kumshughulikia GENTA aache utoto wa kutukana watu hovyo hovyo hapa JF.

Plz keep Off. Am not your class!
Leo nimedhibitisha kauli ya GENTAMYCINE kuwa kuna IDs za kimkakati zinashirikiana kumshambulia tena ni wengine tena wengine wanajibadilisha kwa sura nyingine lakini mwamba ni jeshi la mtu mmoja anadili na wote nyie sambamba .Tusi ullilotukana juu linatosha kukujukisha wewe ni mtu wa hovyo kiasi gani haina haja ya kujitambulisha .
 
hao waliofungua mlango ambao ni wahudumu wa ndege kama unavodai sio mbaya pia maana ni wajibu wao kuwajibika katika kazi yao sasa majaliwa yeye ni mvuvi sio mbaya alivoenda waokoa abiria japo hakiwa peke yake ila Mungu ndo wakati ameona amnyanyue Majaliwa.
 
Unapigo za kijobeless kubishana mtandaoni umefanya kama Kazi.Wewe hata maandiko wako kama umevuka darasa la Nne nasi elimu yetu ipo zaidi ya chini ,makosa mengi ya wazi kiuandishi kama mtoto mdogo.

Neno "Tiyari" unauhakika umeliandika sawasawa ?
 
Sasa ana umhimu gani Tz hadi watu wamsakame ? Tatzo lake ni matusi. Ashukru mm ni muwazi. Nime amua ni msaidie leo.

Ila uelewako sidhani kama una weza fundisha hata std 1
 
ile tu kujadili alikuwa majaliwa au nani kwa wakati huu haina faida, tuendelee na maisha mengine mkuu.
 
Unapigo za kijobeless kubishana mtandaoni umefanya kama Kazi.Wewe hata maandiko wako kama umevuka darasa la Nne nasi elimu yetu ipo zaidi ya chini ,makosa mengi ya wazi kiuandishi kama mtoto mdogo.

Neno "Tiyari" unauhakika umeliandika sawasawa ?
Tulia ww. Mm nina kulisha ww, wazazi wako, mke wako na vitoto vyako. Nilikwambia toka mapema, kojoa ulale, IQ yako ni ndogo sana.

Ila leo nipo na GENTA, sema umbea wako wa kike tu umekuleta.
 
Ulivyoandika kua tutumie Logic au Reason nikadhani labda utaenda kwenye details. Wewe sema tu mlango wa ndege unaofungwa ili usipitishe hata hewa unauvunjaje kutokea nje na kasia ?

Inawezekana mtumbwi wa Majaaliwa ndio uliobeba wahanga, au ye ndo aliewatoa ndani lakini kwenye kuvunja mlango sio yeye.

Na ye alivyoingia ndani akajigonga wapi sijui akaishia kuzimia na kuja kuzindukia hospital. Kwa hiyo mengine yaliyoendelea hakuhusika nayo. Anaweza kua shujaa kuna yake alifanya lakini sio kama anavyopambwa.
 
Hao wasaidizi walipofungua mlango,waliwabeba abiria mpaka ufukweni?Wavuvi wakiongozwa na Majaliwa wakifika na mitumbwi yao na kuwabeba wasaidiz na abiria na kuwaokoa.Tuwapongeze sana wavuvi wetu wa dagaa na samaki waliokoa wahudumu na abiria.
 
Nami naweka nukta hapo.
 
Majaliwa K ni muongo muongo sana...
 
Kumbuka kauli yake Maarufu:

"Rais Magufuli ni mzima wa afya na anachapa kazi usiku kucha halali, mnataka azurure ili iweje?""😀
 
Hata kama hao wahudumu walishiriki chochote hicho wanachosema eti walifungua latch (kitasa) baada ya kumuona dogo nje ya kioo
Hilo lilikuwa jukumu lao.Ndio maana wakaitwa wahudumu. Walikuwa kazini
Ujasiri wa Majaliwa kwa kweli amestahili muacheni kijana wa watu
 
Too late! Supu inywe ikiwa ya moto ikipoa tu msala!
 
Ina maana Serikali ilikurupuka kumtambua kijana Majariwa kama Shujaa mwokozi wa watu !! ni hatari kama serikali inakuwa misinformed - stay tuned.
Bundi linamsaka mtu hapa, maana ukichanganya na maelezo ya jana yule DR kuna point.
 
inaweza kuchemswa...ha ha ha ha
Uchemshe huku uliambiwa ni supu ya mbuzi, baada ya kuganda unakuja kushtuka ni mbwa hata ukiichemsha tena itanyweka kweli[emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…