Taifa limegubikwa na wivu mkuu, yaani watu bila aibu wanaumia kijana mdogo yule kusaidiwa. Sugu kaniudhi kweli, yaan hawazi yule kijana mpaka alizirai na kidogo apoteze maisha, yeye anawaza mlango. Nyambafu kabisa, hao wahudumu kwanini hawakufungua na mlango wa mbele?? Si wanakuwaga WAWILI mmoja mbele mwingine nyuma?? Majaliwa alisema ALIWAKUTA wanapambana kufungua mlango, yeye akaupiga na Kasia, manake maji yalilokisha mlango, Kwa kupigwa na majaliwa ndo ukafungukaAlafu yule ni dogo tu kumsaidia namna ile kwa kwa kile alifanya mbna ni haki yake tu!
alivyozidi kupatapata vizawadi threads zikawa zinazdi kuongezeka!