GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #81
Kwakuwa Watu wa SAUT Mwanza tumebarikiwa Akili nyingi kuliko Upumbavu wako Unaoumiliki.ujuaji Mwingi
Wahi Milembe Mental Hospital Dodoma sawa?Alafu yule ni dogo tu kumsaidia namna ile kwa kwa kile alifanya mbna ni haki yake tu!
alivyozidi kupatapata vizawadi threads zikawa zinazdi kuongezeka!
huwa una ugonjwa wa kupanic sana mambo madogoKwakuwa Watu wa SAUT Mwanza tumebarikiwa Akili nyingi kuliko Upumbavu wako Unaoumiliki.
Acha Kuzuga na Kukwepa tafadhali sawa? Hoja yako ya Msingi hapo Awali ulisema tena Ukijiamini kabisa kuwa hakuna Mhudumu wa Ndege hiyo ( ile ) aliyepona na kwamba Wote walikufa.Shida upuuzi ndio unadhani ni Sifa. Ww unadhani eneo la tukio hakukuwa na watu wengine? Media gani ime wahoji? Tuwekeeni hapa mahojiano siyo kila umbea mtuaminishe! Mara Eng. alifungua yeye mlango! Je kama na wao wana tafta Kick ya Wafanyakazi bora?
JF kila mtu eti ni mjuaji! Utadhani eneo la tukio mlikuwepo?
Nchi fulani ina wajinga weng sana mkuuNdiyo maana mwaka 2013 Rais Paul Kagame wa Rwanda alimwambia Mpuuzi Mmoja ( sasa Mstaafu ) wa nchi niliyoisahau kwa sasa wakiwa Mkutanoni nchini Ethiopia kuwa anaongoza Maiti tu.
Shida yako sifa. Sifa za Kijinga umeona ni umaarufu kutukana hovyo watu. Jenga hoja Active na Moderator msimulee huyu kijana. Pigeni pini hata ya mwaka Account zake zote. Ana ujuaji wa kitoto akati umri ni 38 to 42.Acha Kuzuga na Kukwepa tafadhali sawa? Hoja yako ya Msingi hapo Awali ulisema tena Ukijiamini kabisa kuwa hakuna Mhudumu wa Ndege hiyo ( ile ) aliyepona na kwamba Wote walikufa.
Limalize hili Kwanza linalokuumbua na Kukuchoresha kwa tuliokuzidi Akili Kubwa na Maarifa hapa JamiiForums kabla ya Kurukia huko Kwingineko ambako hukuwezi kutokana na Upumbavu wako Uliokutukuka.
Acha Kuzuga na Kukwepa tafadhali sawa? Hoja yako ya Msingi hapo Awali ulisema tena Ukijiamini kabisa kuwa hakuna Mhudumu wa Ndege hiyo ( ile ) aliyepona na kwamba Wote walikufa.Mm najua Elimu yangu. Ww na mkeo mna ungana na usifikie. Kueneza tu uongo. Ww media gani umeskia mahojiano na Wahudumu wa Ndege?
JF ni ujuaji mwingi wa kijinga.
Acha Kuzuga na Kukwepa tafadhali sawa? Hoja yako ya Msingi hapo Awali ulisema tena Ukijiamini kabisa kuwa hakuna Mhudumu wa Ndege hiyo ( ile ) aliyepona na kwamba Wote walikufa.
Leta majina ya aliye sema hivyo. Leta na video ya hayo mahojiano. Media gani hiyo?Acha Kuzuga na Kukwepa tafadhali sawa? Hoja yako ya Msingi hapo Awali ulisema tena Ukijiamini kabisa kuwa hakuna Mhudumu wa Ndege hiyo ( ile ) aliyepona na kwamba Wote walikufa.
Limalize hili Kwanza linalokuumbua na Kukuchoresha kwa tuliokuzidi Akili Kubwa na Maarifa hapa JamiiForums kabla ya Kurukia huko Kwingineko ambako hukuwezi kutokana na Upumbavu wako Uliokutukuka.
Njia za mafanikio zilizofunguliwa kwa kubumbabumba huwa hazifiki mbali. Nina uhakika, wahudumu wakitoka hadharani na kusimulia tukio lenyewe majaliwa shujaa atatafuta pa kuficha uso wake.Mimi ninachokisema mtu akifunguliwa njia za mafanikio hakuna atakayeweza kuzifunga ndicho kilichotokea, na hapo juu sijakiri bali nimeleta assumptions tu kulingana na vile mnapenda kusikia.
My take: majaliwa ameshapata ajira na zawadi kutoka kwa wadau tumuache ale mavuno ya ujasiri wake.
Acha Kuzuga na Kukwepa tafadhali sawa? Hoja yako ya Msingi hapo Awali ulisema tena Ukijiamini kabisa kuwa hakuna Mhudumu wa Ndege hiyo ( ile ) aliyepona na kwamba Wote walikufa.Leta majina ya aliye sema hivyo. Leta na video ya hayo mahojiano. Media gani hiyo?
Hiyo BAMC yako hapo SAUT ulitoka mweupe. Kama na umri ulio nao akili ni kisoda. Ni bure kabisa.Acha Kuzuga na Kukwepa tafadhali sawa? Hoja yako ya Msingi hapo Awali ulisema tena Ukijiamini kabisa kuwa hakuna Mhudumu wa Ndege hiyo ( ile ) aliyepona na kwamba Wote walikufa.
Limalize hili Kwanza linalokuumbua na Kukuchoresha kwa tuliokuzidi Akili Kubwa na Maarifa hapa JamiiForums kabla ya Kurukia huko Kwingineko ambako hukuwezi kutokana na Upumbavu wako Uliokutukuka.
Ulibaki Wewe tu kutokujua kuwa huyo Muokoaji wenu wa Kimkakati Majaliwa Jackson kwa 85% hakufanya hivyo ila anatumika / ametumika Kukamilisha Agenda fulani ambayo kwa Taifa lenye Mazwazwa wengi imeshafanikiwa.Njia za mafanikio zilizofunguliwa kwa kubumbabumba huwa hazifiki mbali. Nina uhakika, wahudumu wakitoka hadharani na kusimulia tukio lenyewe majaliwa shujaa atatafuta pa kuficha uso wake.
Yaani mwenye Followers almost 120 hapa JamiiForums nihukumiwe kama Utakavyo halafu Juha Mmoja Wewe usiye na hata tu a Single Follower ubakie?Jamii Forums iki kulea hovyo utakuja kuwa Mzee mjinga sana. Ina faa upigwe pini za maana. Kutukana umeona ni sifa nzuri kwa jamii! Kwahiyo watu wa kuogope Hapa jukwaani au?
Another Moron.Basi tufanye ni wewe ndio ulifungua huo mlango wa ndege, umefurahi sasa? Hongera kwa kwa heshima na mijizawadi uliyojipatia