Cvez
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 4,405
- 13,411
Katika kila tukio kuna shujaa wewe ni shabiki wa Simba. Banda alikimbilia mpira pembeni akaurudisha mpira mchezoni, Kapombe akaunasa na kupiga krosi moja nzuri sana kimo cha mtu mzima ikafika katikati ya kijiji cha watu, Sakho akapiga acrobatic moja safi tu, boom goli bora la Africa. Tuzo na kila pongezi alipewa Sakho si Kapombe wala Banda ambao walisaidia.Na Upumbavu ( Upan'gang'a ) ni Tatizo Sugu kwa Watanzania wengi Wakiongozwa nawe.
Hivyo hao wahudumu kufanya hayo mengine kama kufungua mlango kwa ndani na kurahisisha Majaliwa kuvuta mlango kwa nje kwa urahisi wasijihisi wanyonge every story has a hero. Na hata wavuvi wenzie waelewe tu kila kitu na baraka za mtu zina muda wake. TUACHE WIVU