Waziri Mkuu Majaliwa, Wahudumu wa Ndege ya Precision Air wanasema Wao ndiyo Walifungua Mlango. Huyu Muokoaji ‘Majaliwa’ aliufungua upi?

Waziri Mkuu Majaliwa, Wahudumu wa Ndege ya Precision Air wanasema Wao ndiyo Walifungua Mlango. Huyu Muokoaji ‘Majaliwa’ aliufungua upi?

Aliyeokoa abiria sio majaliwa bali ni abiria aliyekuwa ndani ya ndege. Majaliwa alizimia kabla mlango haujafunguliwa sababu kuna kamba ilifungwa ili boat ivute mlango ufunguke, hiyo kama ilikatika ikampiga mjaliwa akazimia na wavuvi walimwokoa.
Huyu jamaa ndo aliyeokoa watu wote na ndo alistahili haya matangazo

Asubiri ndege nyingine ikianguka akaokoe
 
Wacheni wivu asee, kwani hata kama hakufungua shida iko wapi!?
 
Taifa limegubikwa na wivu mkuu, yaani watu bila aibu wanaumia kijana mdogo yule kusaidiwa. Sugu kaniudhi kweli, yaan hawazi yule kijana mpaka alizirai na kidogo apoteze maisha, yeye anawaza mlango. Nyambafu kabisa, hao wahudumu kwanini hawakufungua na mlango wa mbele?? Si wanakuwaga WAWILI mmoja mbele mwingine nyuma?? Majaliwa alisema ALIWAKUTA wanapambana kufungua mlango, yeye akaupiga na Kasia, manake maji yalilokisha mlango, Kwa kupigwa na majaliwa ndo ukafunguka
Watanzania ni shida sana. Inawezekana wahudumu walifungua lock za mlango lakiki sababu ya pressure ya maji ule mlango ukawa mgumu kufungua ndio majaliwa akaupiga kwa nguvu. Hata moto ukitokea kwenye nyumba kama hamna watu wa kuvunja mlango watu wanakufa sababu milango inakuwa migumu kufunguka. Unakuta watu wanafia mlangoni sababu ya kukosa watu wa kusuukuma mlango.
 
hata mimi nilijua tu itabackfire, viongozi wa nchi hii huwa wanakurupuka sana, hata kabla ya kushauriwa na wataalamu.

A simple common sense inakataa, mlango wa ndege ukifungwa hufunguliwa kwa ndani. huyu toy son wao wamempamba mpaka bungeni aliufunguaje akiwa nje?
Mlango wa ndege unaweza kufunguliwa kwa nje pia. Maana inaweza kutokea emegency halafu wa ndani wakashindwa kugungua.
 
Ishu walioshiriki ni wengi kwann awe yy peke yake?? Alizimia, haya aliokolewa na nani??
Hata kwenye timu za mpira kuna wafungaji bora na wanapewa tuzo, kwani huwa wanafunga peke yao bila msaada wa wachezaji wengine? Majaliwa alisema walikuwa na wavuvi wengine, na mmoja alihojiwa akasema majaliwa ndio alikuwa shujaa zaidi yao
 
Watanzania ni shida sana. Inawezekana wahudumu walifungua lock za mlango lakiki sababu ya pressure ya maji ule mlango ukawa mgumu kufungua ndio majaliwa akaupiga kwa nguvu. Hata moto ukitokea kwenye nyumba kama hamna watu wa kuvunja mlango watu wanakufa sababu milango inakuwa migumu kufunguka. Unakuta watu wanafia mlangoni sababu ya kukosa watu wa kusuukuma mlango.
ambayo haiwezi funguliwa kwa nje ni ndege gani? labda ya kivita
 
Mlango wa ndege unaweza kufunguliwa kwa nje pia. Maana inaweza kutokea emegency halafu wa ndani wakashindwa kugungua.
nani mkweli sasa watumishi ambao ni trained kwa kazi hiyo au mvuvi wa dagaa asiye na ufahamu wo wote kuhusu ndege?
 
nani mkweli sasa watumishi ambao ni trained kwa kazi hiyo au mvuvi wa dagaa asiye na ufahamu wo wote kuhusu ndege?
Mimi sijaona wahudumu wakihojiwa zaidi ya almanusra ambao nao wanajichanganya.
 
Wanadamu bhana daah! Uliona alicho kiandika huyo mdau? By the way, mm sihitaji Kick ya mtu, ila huyu GENTA leo kaipata shule hapa. Tena huyu GENTA moods ndio wana mdekeza miaka yote wakati umri wake ni mkubwa.
ID fake unajuaje umri wa mtu ?
Moods ndio nani hawa ?

Njia ya busara ndio kurudisha matusi ? akifanya GENTA unamuona mkorofi kwani na yeye hachokozwi ?
 
Ila na wahudumu kudai wao ndio walifungua mlango ni uongo! Mara majaliwa. Mara Eng. Victor. Hapa watu watulie ripoti ije. Tujue mlango uli vunjwa au ulifunguliwa kawaida.
Basi ulifunguka wenyewe. Maana abiria walionusurika ndio walidai angalau mhudumu mmoja alikuwa akihangaika na mlango. Sisi wa huku tutajua aje?
 
Una muogopa GENTA mm ndie mwenye ubavu wa kumvaa tu. Tulia niachie mm nimrekebishe GENTA, coz ww una muogopa.
Nitamvaa vipi mtu bila sababu ?

Kumvaa mtu unaona sifa nzuri ?

Mwanzo nilidhani lengo lako zuri ila nimegundua wewe ni mtu wa hovyo sana na unapenda ligi zisizo na faida na ligi zenyewe huziwezi.
IMG_20220919_065830.jpg
 
Wanadamu bhana daah! Uliona alicho kiandika huyo mdau? By the way, mm sihitaji Kick ya mtu, ila huyu GENTA leo kaipata shule hapa. Tena huyu GENTA moods ndio wana mdekeza miaka yote wakati umri wake ni mkubwa.
Hivi ni Mods au Moods kama ulivyoandika? Pumbavu.
 
Nitamvaa vipi mtu bila sababu ? Kumvaa mtu unaona sifa nzuri ?

Mwanzo nilidhani lengo lako zuri ila nimegundua wewe ni mtu wa hovyo sana na unapenda ligi zisizo na faida na ligi zenyewe huziwezi.View attachment 2418048
Level yako ya IQ na Genta ni same Category.
Na umri wenu mna kuja kupinga eti Mlango wa ndege hauwezi kuvunjwa na External Force? Yaani mtoto wa miaka 19 nae ni wa kumuonea Wivu? Hivi huko vyuoni huwa mna soma ma ujinga gani?
 
"Sisi ndiyo tulifungua Mlango wa Ndege kisha tukawaona Wavuvi na Mitumbwi yao wanakuja na kuanza Kushirikiana nao katika Kuokoa Abiria na baadae nasi pia Kuokolewa" Wahudumu wa Ndege ya Precision Air iliyotumbukia tarehe 6 Novemba Ziwa Victoria Bukoba Mkoani Kagera.

"Huyu Kijana tena Wajina wangu Majaliwa Jackson ni Shujaa kweli na lazima tumpe Asante kwani Yeye ndiyo alienda ilipo Ndege na kwa Kutumia Makasia aliyokuwa nayo akafungua Mlango wa Ndege na peke yake Kuokoa Abiria wote" Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa.

Kazi ipo hakyanani.
Aliye andika hapa ni shouger kabisa
 
Back
Top Bottom