WAZO2010
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 1,615
- 3,784
Umekua sasa. Mzee mzima una tukanaje kila mtu JF una shida gani kichwani?Acha kuhangaika kuhisia Umri wangu Pumbavu Wewe sawa? Nina miaka 87 kwa sasa je, una lingine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekua sasa. Mzee mzima una tukanaje kila mtu JF una shida gani kichwani?Acha kuhangaika kuhisia Umri wangu Pumbavu Wewe sawa? Nina miaka 87 kwa sasa je, una lingine?
Kuna mtu aliwekwa kwenye list ya marehemu ila kumbe hakufariki alijitokeza katika vyombo vya habari sababu familia yake walikuwa wakipokea salamu za rambirambi kutoka kwa ndugu,jamaa na marafiki.Ww unae sema ali sema yeye ndie alie fungua mlango. Mtaje jina na weka picha. Ali hojiwa na media gani? Weka video. Coz majina ya Marehemu na majeruhi wa ajali yote yapo hapa ktk uzi mmoja hapa JF na huyo mhudumu hajawahi jitokeza.
..Wewe ni Msomaji wa Mitandao kweli? Ama unakuwa unasoma kama unakimbizwa?Ww unae sema ali sema yeye ndie alie fungua mlango. Mtaje jina na weka picha. Ali hojiwa na media gani? Weka video. Coz majina ya Marehemu na majeruhi wa ajali yote yapo hapa ktk uzi mmoja hapa JF na huyo mhudumu hajawahi jitokeza.
Nina shida Kubwa ya safari hii Kukataa kabisa 'Kukuweka' na kukupa Maji Matamu ya Mchele ambayo unayapenda hakuna Maelezo.Umekua sasa. 6kilak ni una tukanaje kila mtu JF una canda gani kichwani?
Ila nashukuru ume change sana Mzanaki.Nina shida Kubwa ya safari hii Kukataa kabisa 'Kukuweka' na kukupa Maji Matamu ya Mchele ambayo unayapenda hakuna Maelezo.
Ukishaoma tu GENTAMYCINE namuita WAZO2010 Mpumbavu na Mwendawazimu huku Nikimdharau jua sijakosea kabisa na kwamba hapo hakuna Mtu bali huyo ni Uncircumcised Baboon wa Kutukuka...Wewe ni Msomaji wa Mitandao kweli? Ama unakuwa unasoma kama unakimbizwa?
SI Mitandao yote imeshatoa Picha ya Wahudumu Wawili waliopona Ajali Ile? Hujaona?
Najua unatamani mno na sana uwe Mzanaki ( Kabila la Watu Intelligent and Thinkers Naturally) ila huwezi na itashindikana.Ila nashukuru ume change sana Mzanaki.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] siwezi tamani kabila lisilo na maendeleo hilo.Najua unatamani mno na sana uwe Mzanaki ( Kabila la Watu Intelligent and Thinkers Naturally) ila huwezi na itashindikana.
Lingekuletea Uhuru ulionao kwa Tanzania yako hii na kukufanya usiendelee kuwa 'Uncivilized' japo bado umeendelea kuwa 'Uncircumcised Baboon' mpaka hii Leo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] siwezi tamani kabila lisilo na maendeleo hilo.
Ww unadhani huo Uhuru alikuwa peke yake? Tz ilikuwa na wasomi kibao enzi hizo, sema walimteua tu awe kiongozi wao. Ina onesha tohara ulifanyiwa at 20s naona ina kuzuzua sana GENTA[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lingekuletea Uhuru ulionao kwa Tanzania yako hii na kukufanya usiendelee kuwa 'Uncivilized' japo bado umeendelea kuwa 'Uncircumcised Baboon' mpaka hii Leo?
Kama huo ( huu ) Uhuru waliouleta ni Wengi kwanini Icon na Champion akawa ni peke yake tu? Tafadhali nikiwa Nakudharau na Kukuambia Mpumbavu na Mwendawazimu usiwe Unabisha sawa?Ww unadhani huo Uhuru alikuwa peke yake? Tz ilikuwa na wasomi kibao enzi hizo, sema walimteua tu awe kiongozi wao. Ina onesha tohara ulifanyiwa at 20s naona ina kuzuzua sana GENTA[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ww unadhani babu yangu hakuwa chief? Alipigania Uhuru.Kama huo ( huu ) Uhuru waliouleta ni Wengi kwanini Icon na Champion akawa ni peke yake tu? Tafadhali nikiwa Nakudharau na Kukuambia Mpumbavu na Mwendawazimu usiwe Unabisha sawa?
Na kama Babu yako nae ( kama alibahatika kuwa na Akili Kichwani ) alichangia kuleta Uhuru Tanzania mbona hakuwa Statesman na Father of the Nation kama Hayati Mwalimu Nyerere?
Kuna utata mwingi yule jamaa engineer anasema ndio alifungua mlango hawa madada nao wanasema walifungua same to Majaliwa , tumuamini nani?Mlango wa ndege ulifunguliwa vipi na makasia hapo kuna utata kwasababu kuna maelezo ya waliomo ndani ya ndege na kijana Majaliwa na kuna maelezo ya wavuvi waliofika na kijana majaliwa eneo la tukio.
Ndege kitasa chake kinafungua kutokea ndani na ni mlango ambao ni airtight yaani unafunguliwa na kufungwa kama safe sababu ya pressure ya hewa kule angani.
Ukisikiliza maneno ya abiria aliyekuwapo ndani ya ndege anasema aliona purukushani za kuufungua kutokea ndani hadi unafunga na wakatoka nje.
Ila hii ya kusema makasia yalitumika kuufungua imekaa kitata sana.
Kwa Upumbavu na Uwendawazimu Uliokutukuka unaweza kweli kuwa na Babu aliyepigania Uhuru wa Tanganyika iliyokuja Kuzaa hii Tanzania yetu leo?Ww unadhani babu yangu hakuwa chief? Alipigania Uhuru.
Wakuwaamini walikuwa ni Marubani na kwa bahati mbaya Wote Wamekufa / Walikufa pale pale baada ya Maji Kuingia katika 'Cockpit' yao Wakipambana Kujiokoa.Kuna utata mwingi yule jamaa engineer anasema ndio alifungua mlango hawa madada nao wanasema walifungua same to Majaliwa , tumuamini nani?
Ubarikiwe this is factTuache wivu wakuu, huyo dogo bahati yake tusiilalie mlango wazi kwa hali yeyote hata kama hajafungua yeye basi ameshiriki kuokoa watu hilo linatosha kuutambua msaada wake.
Hivi bila akina Chief Mkwawa, mtemi Isike, Mangungo, nk unadhani huo Uhuru wangempa kirahisi tu kwa makarstasi ee?Kwa Upumbavu na Uwendawazimu Uliokutukuka unaweza kweli kuwa na Babu aliyepigania Uhuru wa Tanganyika iliyokuja Kuzaa hii Tanzania yetu leo?