johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Akiwa mkoani Njombe Waziri Mkuu mh Majaliwa amehoji kwanini wawekezaji wa viwanda vya majani ya chai wanashindwa kuwalipa kwa wakati wakulima wa zao hilo.
Majaliwa amesema mkulima anapaswa kuwa amelipwa fedha zake ndani ya siku 4 baada ya mauzo.
Kadhalika mh Majaliwa amesema serikali itaanzisha soko/mnada wa zao la chai jijini Dar es Salaam ili kuwapa wepesi wakulima wa zao hilo katika kulifikia soko wao wenyewe.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!