Waziri Mkuu Majaliwa: Wakulima wa mazao wanapaswa kulipwa ndani ya siku 4, tutaanzisha soko la chai Dar es Salaam

Waziri Mkuu Majaliwa: Wakulima wa mazao wanapaswa kulipwa ndani ya siku 4, tutaanzisha soko la chai Dar es Salaam

Chai inalimwa Njombe alafu mnada unaanzishwa Dar es salaam!?
CCM Oyeee
 
hapan kwa mujibu wa gazeti hilo wamekufa baada ya kupokea chanjo ya corona...usisahau Habib mchange na musiba ni magwiji ya habari wahariri bora kwa sasa Tanzania waki manage magazeti ya fahari yetu na tanzanite..hakika kama nchi tunajivunia kuwa na ma editors kama hao

Musiba!! gwiji?
Nimechagua kukupuuza rasmi sasa.
 
Musiba!! gwiji?
Nimechagua kukupuuza rasmi sasa.
ni gwiji mkuu siyo yeye tu kuna gwiji jingine linaitwa Habib mchange, the best DUO hapa nchini kwenye tasnia ya habari
Screen Shot 2021-03-11 at 10.15.37 AM.png
 
jifunze kusoma kinyumenyume na wewe kwani fasihi ulikuwa unapataga ngapi shuleni duh hujui maana ya sarcasm?

Badala yaandike kuhusu afya ya 'bwana' yule, yanajaribu kuhamisha upepo kijinga namna hii... bure kabisa.

Kabisa kuna wenye timamu hununua hayo matakataka?
 
Badala yaandike kuhusu afya ya 'bwana' yule, yanajaribu kuhamisha upepo kijinga namna hii... bure kabisa.

Kabisa kuna wenye timamu hununua hayo matakataka?
HAHAHAHAHAH watu wananunua magazeti ya michezo siku hizi uzuri kwa hawa jama sidhani kama wanategemea mauzo ya mtaani
 
Back
Top Bottom