johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Muulize Zitto Kabwe ni mkulima wa korosho!Propaganda, wa korosho keshawalipa au wamedhulumiwa for good.
Najaribu kupima tulikotoka na tunakokwenda!nimeona mkuu k]kwenye hili gazeti ila pia habari ya chini imeshtua sana sasa kama gazeti makini kama FAHARI YETU imereport vifo vya viongozi wawili wa chadema mbona chama kipo kimya?na kama ni uongo wangeonywa na msajili,asante gazeti la fahari yetu kwa uchapa kazi wenu hata sister gazzete lenu la TANZANIte NALIKUBALI SANA
View attachment 1722567
unapimaje bwashee kwani mzee mgaya anasemaje kuhusu vifo cha mbowe na john mrema vilivyoripotiwa na gazeti lililo chini ya wahariri bora kabisa nchini ,ma komredi habib mchange na komredi musibaNajaribu kupima tulikotoka na tunakokwenda!
Vifo vya Mbowe? Hawako serious hawanimeona mkuu k]kwenye hili gazeti ila pia habari ya chini imeshtua sana sasa kama gazeti makini kama FAHARI YETU imereport vifo vya viongozi wawili wa chadema mbona chama kipo kimya?na kama ni uongo wangeonywa na msajili,asante gazeti la fahari yetu kwa uchapa kazi wenu hata sister gazzete lenu la TANZANIte NALIKUBALI SANA
View attachment 1722567
wako serious mkuu na ndiyo maana hawajaonywa, au hujui kuna msajili wa magazeti na wizara ya habari?kama ingekuwa uongo wangeshafutiwa usajili..wansema vifo maana ni viwili john mrema na freeman mboweVifo vya Mbowe? Hawako serious hawa
Kwahio Mbowe afe isitumwe Tanzia humu? Au kufa kisiasa?wako serious mkuu na ndiyo maana hawajaonywa, au hujui kuna msajili wa magazeti na wizara ya habari?kama ingekuwa uongo wangeshafutiwa usajili..wansema vifo maana ni viwili john mrema na freeman mbowe
hapan kwa mujibu wa gazeti hilo wamekufa baada ya kupokea chanjo ya corona...usisahau Habib mchange na musiba ni magwiji ya habari wahariri bora kwa sasa Tanzania waki manage magazeti ya fahari yetu na tanzanite..hakika kama nchi tunajivunia kuwa na ma editors kama haoKwahio Mbowe afe isitumwe Tanzia humu? Au kufa kisiasa?
Tatizo litakuwa muandishi amekosea kiripoti habari, sitaki kuamini pm hajui kuwa chai baada ya kuchumwa kutoka kwenye mti ni lazima iingie kwenye process ya kiwanda ndani ya masaa 24 vinginevyo inakuwa rejectsChai inalimwa Njombe, Kagera na Kilimanjaro lakini soko liwe Dar, hawaoni kwamba inahitaji wafanyabiashara wakubwa tu kusafirisha majani ya chai hadi sokoni kitu ambacho kitaendelea kumnyonya mkulima kwa kuuza mazao yake kwa bei ya chini kwa hao walanguzi.
Masoko yajengwe uko huko kunakolimwa chai kama ilivyofanyika kwa masoko ya madini Geita/kanda ya ziwa na Merarani kunakochimbwamadini hayo
Mlianza na mbaazi ikawashinda, sukari ikawashinda, korosho ikawashinda, mafuta ya kula yakawashinda, sasa mnahamia tena kwenye chai?Akiwa mkoani Njombe Waziri Mkuu mh Majaliwa amehoji kwanini wawekezaji wa viwanda vya majani ya chai wanashindwa kuwalipa kwa wakati wakulima wa zao hilo.
Majaliwa amesema mkulima anapaswa kuwa amelipwa fedha zake ndani ya siku 4 baada ya mauzo.
Kadhalika mh Majaliwa amesema serikali itaanzisha soko/mnada wa zao la chai jijini Dar es Salaam ili kuwapa wepesi wakulima wa zao hilo katika kulifikia soko wao wenyewe.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Cha ajabu anasema eti inakuwaje unachukua mali ya mtu bila kumlipa!!wao walipochukua korosho ni miaka kama 2!!bado kuna wanaodai!!na kuna watu wanaidai serikali huu ni mwaka tano!!Ameshawalipa wa korosho?